JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello chitchat. Leo naadhimisha miaka kadhaa ya tangu kuzaliwa kwangu. Am so happy, Kufurahia nitatumia my real pic . Kwa profile yangu. Nitakuwepo kujibu swali lolote mbalo mtu angepende...
1 Reactions
6 Replies
863 Views
Natumaini ni mzima na unaendelea vizuri esta, ulie mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua hii ni kukueleza tu kwa uwazi moyo wangu hakika unakupenda sana napenda tuwe wote ili baadae...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini Nimeamua nijithread mwenyewe ahahahahahahahaaaaaa Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi: " kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
*Eti ww usietaka mwanaume suruali utamuweza mmasai na mashuka yakee* *nisaidie kushare* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya kushinda wana JF Nina shida naombeni msaada! Mimi naishi nyumba ya kupanga na mda mwingi nikitoka kazini naingia maeneo ya kupata moja baridi moja moto. Huduma ya choo na bafu namalizia...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Habar zenu wana jf kume kua na haka katabia binafsi hua nakachkia kweli kwa wanaume tuixhio mikoani (kama wanavyo tuita wanaume wa Dar) pale mnapo toka mikoan na kwenda Dar pindi mnapo rud tena...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
*mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango* Mazungumzo Huwa hivi... Wewe[emoji19]: EEEEEH Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Amenuna hadi mdomo umepinda jamani..
3 Reactions
29 Replies
4K Views
japo kila mtu yupo huru kuanzisha thread humu wakati wowote naomba tufanye kitu kimoja hapa tutapost mambo mbalimbali madogo yanayotokea majumbani kwetu,mfano chakula,sabuni za kufulia,dawa nzuri...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
nimekutana na polisi wameniuliza kwanini natembea usiku nikawaambia sasa mnataka niogelee?........saiz nipo kwenye difenda nahisi wananipeleka home...........good night fellas #WapostPumba
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanyama wangekuwa na WHAT'S UP. Status zingekuwa: MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? " PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jf, kuna kitu kinanikwaza na kunipa shauku ya kujua. nimezaliwa kwenye jamii ya kitanzania..nimekulia mji wa dar na elimu yangu nimeipata hapahapa.katika malezi yangu haya nimeshuhudia...
1 Reactions
7 Replies
941 Views
1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu 2. Asiye na mwana,aeleke jiwe 3. Zimwi likujualo halikuli likakwisha 4. Kikulacho kunguoni mwake 5. Mtoto akililia wembe,mpe 6. Asiyefunzwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
2 Reactions
7 Replies
2K Views
*[emoji23]Enzi hizo shule kuna wanafunzi walikuwa wanaandika topic kwa kalamu nyekundu, sub topic kalamu ya nyeusi, na notes kalamu ya bluu.[emoji23] Sijui mko wapi siku hizi, au mlipata kazi...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Muliosoma Shule ya Msingi Kurasini karibuni tusalimiane
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mgonjwa: dactari nina tatizo la kusaha sahau? Dactari; Hilo tatizo limekuanza mda gani? Mgonjwa; tatizo gani.......????? [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za...
10 Reactions
10 Replies
3K Views
leo niliacha maji nje kwenye ndoo nilitaka kwenda kuoga, wakati nipo ndani mvua ikanyesha nikatoka nje baada ya mvua kuisha ili nikaoge nimekuta maji yangu yote yamelowa, nimekasirika kweli...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom