JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
6 Reactions
43 Replies
4K Views
badilisha hii sentensi kwa kingereza "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi" ngoja nipitie pop corn hapo kati..!! #WapostPumba
0 Reactions
25 Replies
3K Views
salaam wana jf ndugu zangu jana nimetoka mahakamani na natakiwa kurudi siku ya jumanne kila nionavyo nina dalili ya kuingia gerezani Kisa nilimpiga muuza samaki, nilikuwa nipo ndani nikasikia...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wale wa Ngulelo, Matejo, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda hadi Kisongo hata Dukabovu huko Meserani huko kote na kwingine njooni tupeane maramani! Hawa machalii wa dsm ni masoro sana kama mademu tu hv...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kitu ambacho Tz tuko mbele zaidi ya USA ni Muda tu hakuna kingine.. Tuko mbele masaa zaidi ya 8 kutegemea na mji gani wa huko USA lakin vingine wametuzidi..
6 Reactions
8 Replies
2K Views
2 Reactions
1 Replies
859 Views
Habari wana chit chat Katika wakati huu wa mvua nimejikuta nakumbuka nilichofanyiwa 2006 nilipokuwa form 3. Mwaka huo kule Kibosho kulikuwa na mvua mfululizo hatari alafu baridi na ukungu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuuu za saa hizi? Siku hizi kila nikikutana na mtoto ambaye ninamzimia huwa dushe likizama wazungu wanatoka faster mpaka naulizwa unaumwa. Nimepiga mdalasini na asali ila hola Nimeeenda gym...
2 Reactions
82 Replies
14K Views
Niende moja kwa moja katka mada, around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu. Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
hakuna kitu inauma kama mpate ajali halafu wewe peke yako ndio unakufa. unaweza kumnyonga mtu kwa hasira #WapostPumba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Am 26 male , bored [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] / need a female chatmate in whatsapp lets make new friends +8615804059541
0 Reactions
3 Replies
715 Views
#Ni sawa na kuwa na namba 500 kwenye cm yako afu ukafuta namba 499 namba inayo baki ndo mke. #JE unaweza chati na namba moja maishani mwako mwote...?[emoji29] [emoji1] [emoji2] [emoji28] [emoji28]...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Yaani niko moto ni vibaya, nimenunua nyembe ka dozen kazima. Kuanzia saa mbili mpaka saa hizi nahangaika na wembe tuu, yaani kidevu kinawaka moto, kwapa linawaka moto, na huku kunako pia moto...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Natumaini mpo poa huku tukiwa tunaendelee kumuombea Maxence Melo na familia yake. Kwako Mshana Jr natumaini u mzima, mimi na familia yangu ni wazima kabisa. Dhumuni la waraka huu ni...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa Mfano Yule Dada Wa Kwenye Tangazo La Cocacola Angekua Anafanya Kazi Kwenye Choo, Arafu Anakuambia Umejishindia Haja Kumbe Bure Unye Hapahapa. Arafu Anakurembulie Vile!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…