Habari yenu wakuu
Nani yupo nyama choma hapa Leaders club? Njooni tuyajenge. Kwa wale wanaotaka kukutana na mtu mzima mimi huu ndo wakati. Hina haja ya kuja PM. Just nielekeze umekaa wapi nije...
Nimekaa hapa natafakari sehemu na viungo vya binadamu vinavoishia na herufi 'O' katika lugha adhimu ya kiswahili;
Mkono
Mdomo
Sikio
Kalio,
Kojoleo,
Jicho,
Kiwiko,
Ugoko,
Unyayo,
Kisigino...
1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?
2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife...
eti mtu anakuuliza unaweza kuchoma cheti chako cha form six kwa sababu ya bilioni 2, nini cheti mimi nitachoma shule kabisa, tena nitamnyofoa mguu mwalimu kabisa
#WapostPumba
tuanze na ki definition hiki cha form two.... misimu ni aina ya maneno yanayo ibuka au kuzuka na kutoweka kwa kipindi fulani, kibongo bongo tuna mineno mingi sana amabayo ina zukaa na kupotea...
Habari wana JF,
Kwendana na tathmini yangu binafsi ninaona kwa hii hali ya ugumu wa Ajira na ugumu wa mzunguko wa Pesa, kuna vijana wengi mno wako mitaani ambao hawana kisomo wala vyeti wala...
Nimetafakari na nikatamani kukumbusha na wewe hasa wakati huu ambao maisha ni magumu kwa watu wengi na tunapita kwenye upepo unaohitaji matumizi makubwa ya akili na ufahamu. Kwa Kiasi kikubwa...
Ombi kwa moderator wafutwe nyuzi za kutafuta wachumba humu maana wengi wao wapo kimasihara zaidi na kuchezea akili za watu
Utakuta mtu ni me lakini anajifanya ni ke kutafuta wachumba kwa nia ya...
Sasa ni rasmi serikali imetangaza ajira mpya kwa watu wote waliyomaliza vyuo kwa ngazi zote tena zoezi hili litafanyika kabla ya May .1. 2017
pia serikali imetangaza kuongeza mshahara kwa 45%...
Leo ndio mara yangu ya mwisho kuchati humu jf nitakuwa naingia mara moja moja sana kusoma mada mbaalimbali niambie neno lolote lile unalojiskia kwa mara ya mwisho
Na wale wapenzi wangu namba...
1-Msichana mwenye ndoto za kuolewa na mtu
mwenye mafanikio wakati yeye anamiliki lipstiki
& wanja tu anahitaji maombi
2-
Bora kupendwa na mtu mwenye tabia za
kimalaya, ukimfumania unamtema kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.