JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tuamke na bwana muumba wetu, amen
1 Reactions
1 Replies
467 Views
Habari yenu wakuu Nani yupo nyama choma hapa Leaders club? Njooni tuyajenge. Kwa wale wanaotaka kukutana na mtu mzima mimi huu ndo wakati. Hina haja ya kuja PM. Just nielekeze umekaa wapi nije...
0 Reactions
3 Replies
839 Views
kwa baridi hili unawezajikuta unaomba msamaha hata kwa kosa la badae ili mradi tu msikosane hii baridi itakuwa imejiunga halichachi bando #WapostPumba
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekaa hapa natafakari sehemu na viungo vya binadamu vinavoishia na herufi 'O' katika lugha adhimu ya kiswahili; Mkono Mdomo Sikio Kalio, Kojoleo, Jicho, Kiwiko, Ugoko, Unyayo, Kisigino...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
1,Should I write about politics? -Base on leading party? -Base on opposional paties? 2, Should I write about relationship and sex affairs? - Looking for the ckicks, some body's wife...
4 Reactions
76 Replies
4K Views
3 Reactions
23 Replies
16K Views
eti mtu anakuuliza unaweza kuchoma cheti chako cha form six kwa sababu ya bilioni 2, nini cheti mimi nitachoma shule kabisa, tena nitamnyofoa mguu mwalimu kabisa #WapostPumba
4 Reactions
3 Replies
1K Views
tuanze na ki definition hiki cha form two.... misimu ni aina ya maneno yanayo ibuka au kuzuka na kutoweka kwa kipindi fulani, kibongo bongo tuna mineno mingi sana amabayo ina zukaa na kupotea...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari njema kwa watanzania wooooote waliogushi vyeti Hakikisha unakuwa mwanasiasa kabla hujakamatwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
6 Reactions
14 Replies
2K Views
*Ndugu yangu Mkiristo na Muislam chukua tahadhari mapema sana, usije ukaenda KFC au cafe yoyote ukala* *vyakula kama pizza , chips kuku wa kienyeji, sandwich, egg chop, bagga, maini, biriani...
2 Reactions
3 Replies
881 Views
Habari wana JF, Kwendana na tathmini yangu binafsi ninaona kwa hii hali ya ugumu wa Ajira na ugumu wa mzunguko wa Pesa, kuna vijana wengi mno wako mitaani ambao hawana kisomo wala vyeti wala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetafakari na nikatamani kukumbusha na wewe hasa wakati huu ambao maisha ni magumu kwa watu wengi na tunapita kwenye upepo unaohitaji matumizi makubwa ya akili na ufahamu. Kwa Kiasi kikubwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi. Karibuni
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ombi kwa moderator wafutwe nyuzi za kutafuta wachumba humu maana wengi wao wapo kimasihara zaidi na kuchezea akili za watu Utakuta mtu ni me lakini anajifanya ni ke kutafuta wachumba kwa nia ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Sasa ni rasmi serikali imetangaza ajira mpya kwa watu wote waliyomaliza vyuo kwa ngazi zote tena zoezi hili litafanyika kabla ya May .1. 2017 pia serikali imetangaza kuongeza mshahara kwa 45%...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Unataka mwanaume atakaye kulinda na kukujali alafu ukitongozwa na mlinzi unakataa[emoji23][emoji23][emoji23]wanawake mmenishinda..
6 Reactions
31 Replies
3K Views
"Mwanangu *soma* la sivyo *utaishia* kuwa *mbunge, waziri au mkuu wa mkoa"*
1 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
10 Replies
959 Views
Leo ndio mara yangu ya mwisho kuchati humu jf nitakuwa naingia mara moja moja sana kusoma mada mbaalimbali niambie neno lolote lile unalojiskia kwa mara ya mwisho Na wale wapenzi wangu namba...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
1-Msichana mwenye ndoto za kuolewa na mtu mwenye mafanikio wakati yeye anamiliki lipstiki & wanja tu anahitaji maombi 2- Bora kupendwa na mtu mwenye tabia za kimalaya, ukimfumania unamtema kama...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…