JE!!!?
1:una chunusi,harara,vipele ama tatizo la ngozi?
2:Umepasuka miguu (magaga)?
3:unapata miwasho sehemu za siri,harufu mbaya na UTI ama FUNGUS za mara kwa mara?
4:una jasho kali,harufu...
Akyanani mtaniua nyie watanzania!
Kaja demu m1, demu tuuuu demu kanitoa faceboook yangu, kaja inboboooo, dada penny dada penny, my one and only 911, i need your heeeeeeelp!
Money Penny: haya...
Tangu nimeanza kazi sijawahi kutumiaa Kigawo Kikubwa cha Shirika(K.K.S) na Kigawe Kidogo cha Shirika(K.D.S)
Sijui shule nilisoma vyanini[emoji20][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] kuchoshana...
Wakuu leo nilikua najaribu kukumbuka baadhi ya matukio ya kijijini wakati wa sikukuu kama Nane nane, mwaka mpya, Christmas, Eid, Pasaka n.k
Kuna mambo nikikumbuka nacheka sana[emoji23]
1. Siku...
Umewahi kuwaza kwamba vipi kama matumizi ya id yako humu ndiyo yataamua bei utakayoiuza id husika? Yaani ukiangalia id yako na kuona namna unavyopanga hoja, namna unavyojamiiana na wanajf...
Wapendwa binafsi nimegundua usipokuwa mwangalifu utajikuta unaingia jehanam kwa ajili ya simu hizi. Hebu kila mmoja aseme alilowahi fanya baya kupitia simu yake
Je??
1. una chunusi,harara na vipele
2. una miwasho isiyoisha na miguu kupasuka/kuwakamoto
3. una jasho kali na harufu mbaya mwilini
4. una fungus sugu
5. una harufu mbaya mdomoni
6. una mafuta...
Kuna hii ishu imeenea kua Dada Fulani mbongo muvi, kaachwa kwa kunuka chini. Ukimthaminisha alieachwa ni mrembo kwa kweli. Na anayemsuta wa kawaida sana. Kiasi nawaza hilo la kunuka litakua...
Wale wenzangu tuliosoma st.Kayumba wazee wa kidumu na Maji mje tukutane hapa. Usisahau kueleza kile ambacho kila ukikumbuka unajifunia kusoma hizo shule iwe kizuri au kibaya ilimladi tu ukikumbuka...
Baada ya mchujo leo ndo kumpigia kura nani anafaa kuwa mshindi na rais wa jf kwa muda wa mwaka mmoja
Na ni mshana jr vs The Boss
Atakayeshinda ataendeleza umoja na mshikamano wetu kama jamiiforums...
Habari wadau
Jamani nilipita maeneo haya niliowakuta huku duuh sijawahi waona kule majukwaa yetu mengine kumbe huku kuna totozii bomba,
Jamani nauliza tu wote wapo na menyewe kwa nia njema tu...
Habari wana jf km kichwa hpo juu kinavyojieleza niende kwenye mada kabisa
Huku jf asilimia karibu zote wengi tunatumia ID fake....kwahiyo kumtambua huyu ni fulani hata km unafanya nae kazi ofisi...
Bissimillah ya raufu kalamu nakamata
Nayaandika makovu kwa shauku ya kalamu
Shida ni za mwanadamu futa yangu matozi
Usitake mengi kwa pupa tamaa muachie juha
Ni ww pekee manani wakunitoa...
Jamani huu wizi 'live', nimekaa nae muda mrefu
tumekunywa sana, sasa nataka kulipa bili, nimetoa
bulungutu la noti nachagua zile zilizochoka choka
ndio nilipie, naona mkono uko shingoni, na kwa...
saluti kwenu wakuu.
muda mrefu kumeibuka kamtindo ka baadhi yetu tunaopenda "maneno ya shombo" kuwaita wengine eti ni "nyumbu".
hili jina ni la mnyama ambaye kwa Kizungu anaitwa "mule" lakini...
Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.