JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
JE!!!? 1:una chunusi,harara,vipele ama tatizo la ngozi? 2:Umepasuka miguu (magaga)? 3:unapata miwasho sehemu za siri,harufu mbaya na UTI ama FUNGUS za mara kwa mara? 4:una jasho kali,harufu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Akyanani mtaniua nyie watanzania! Kaja demu m1, demu tuuuu demu kanitoa faceboook yangu, kaja inboboooo, dada penny dada penny, my one and only 911, i need your heeeeeeelp! Money Penny: haya...
2 Reactions
112 Replies
11K Views
hivi neno "kifo cha mende" kwa kingereza inaandikwaje??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nitakuwa Live Facebook ifikapo saa nne usiku nikiendelea na somo la utasa....kaa tayari kunitazama. #Prophetic Machine. #Prophet Linus Tesha.
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Tangu nimeanza kazi sijawahi kutumiaa Kigawo Kikubwa cha Shirika(K.K.S) na Kigawe Kidogo cha Shirika(K.D.S) Sijui shule nilisoma vyanini[emoji20][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] kuchoshana...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu leo nilikua najaribu kukumbuka baadhi ya matukio ya kijijini wakati wa sikukuu kama Nane nane, mwaka mpya, Christmas, Eid, Pasaka n.k Kuna mambo nikikumbuka nacheka sana[emoji23] 1. Siku...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Umewahi kuwaza kwamba vipi kama matumizi ya id yako humu ndiyo yataamua bei utakayoiuza id husika? Yaani ukiangalia id yako na kuona namna unavyopanga hoja, namna unavyojamiiana na wanajf...
1 Reactions
219 Replies
9K Views
Wapendwa binafsi nimegundua usipokuwa mwangalifu utajikuta unaingia jehanam kwa ajili ya simu hizi. Hebu kila mmoja aseme alilowahi fanya baya kupitia simu yake
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Je?? 1. una chunusi,harara na vipele 2. una miwasho isiyoisha na miguu kupasuka/kuwakamoto 3. una jasho kali na harufu mbaya mwilini 4. una fungus sugu 5. una harufu mbaya mdomoni 6. una mafuta...
0 Reactions
9 Replies
950 Views
Sema chochote kile au muongelee mtu yeyote kwa kuingizia neno ndo basi tena
0 Reactions
9 Replies
935 Views
Kuna hii ishu imeenea kua Dada Fulani mbongo muvi, kaachwa kwa kunuka chini. Ukimthaminisha alieachwa ni mrembo kwa kweli. Na anayemsuta wa kawaida sana. Kiasi nawaza hilo la kunuka litakua...
6 Reactions
69 Replies
11K Views
Wale wenzangu tuliosoma st.Kayumba wazee wa kidumu na Maji mje tukutane hapa. Usisahau kueleza kile ambacho kila ukikumbuka unajifunia kusoma hizo shule iwe kizuri au kibaya ilimladi tu ukikumbuka...
6 Reactions
261 Replies
23K Views
Baada ya mchujo leo ndo kumpigia kura nani anafaa kuwa mshindi na rais wa jf kwa muda wa mwaka mmoja Na ni mshana jr vs The Boss Atakayeshinda ataendeleza umoja na mshikamano wetu kama jamiiforums...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari wadau Jamani nilipita maeneo haya niliowakuta huku duuh sijawahi waona kule majukwaa yetu mengine kumbe huku kuna totozii bomba, Jamani nauliza tu wote wapo na menyewe kwa nia njema tu...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
.thread closed
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Habari wana jf km kichwa hpo juu kinavyojieleza niende kwenye mada kabisa Huku jf asilimia karibu zote wengi tunatumia ID fake....kwahiyo kumtambua huyu ni fulani hata km unafanya nae kazi ofisi...
4 Reactions
76 Replies
3K Views
Bissimillah ya raufu kalamu nakamata Nayaandika makovu kwa shauku ya kalamu Shida ni za mwanadamu futa yangu matozi Usitake mengi kwa pupa tamaa muachie juha Ni ww pekee manani wakunitoa...
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Jamani huu wizi 'live', nimekaa nae muda mrefu tumekunywa sana, sasa nataka kulipa bili, nimetoa bulungutu la noti nachagua zile zilizochoka choka ndio nilipie, naona mkono uko shingoni, na kwa...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
saluti kwenu wakuu. muda mrefu kumeibuka kamtindo ka baadhi yetu tunaopenda "maneno ya shombo" kuwaita wengine eti ni "nyumbu". hili jina ni la mnyama ambaye kwa Kizungu anaitwa "mule" lakini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…