JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mhhhh Jamaa hapo alipo kwa jinsi alivyokuwa na Hasira na yule dada yaani hapo alipo hata saivi anatamani mr kipanki mda wowote arudhe kombora moja litue Los Angeles pale [emoji23] [emoji23]...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wahenga walisemaga eti ukimcheka mtu unakuwa kama yeye sasa ngoja mie leo nicheke "Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] BAKHRESA hahahahahaha[emoji14] [emoji13] hapo ndo utajua kwanini...
1 Reactions
1 Replies
468 Views
Tuambie no yako Inaishia nangap hapo
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwanza nitapiga pale ninapoficha pesa na pili nitapiga pale ninapojifichaga kama nikiwa nadaiwa
28 Reactions
115 Replies
15K Views
Kwa muda sasa tokea Mwanangu atimize miaka miwili ( 2 ) amekuwa na tabia za kupenda kulia lia sana na nikawa napatwa mno na hasira hadi kufikiria niwe ' namlambisha ' tu vibao kama vile...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
*Story ya Mabangi..* ```Baba kutoka Mashambani alipata Safari ya kwenda Mombasa kwa Biashara. Baada ya Wiki moja, akampigia Simu Mtoto wake Mabangi kujulia hali ya Nyumbani.``` *Baba:* Alooo...
1 Reactions
3 Replies
986 Views
salaam wadau Jamani hili swala si la ubishi ia ni ukweli halisi ulio dhahiri makalio ni kitu adimu na kiburudisho kikubwa kwa mafisi uchu, na ujue ni tunu kwa wengine wapo kama kabati hawana...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Marekani Trump ampigia simu rais wa urusi Trump ampigia simu rais wa nigeria Trump ampigia simu rais wa Kenya Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza Tanzania: Magufuli ampigia simu diamond...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaaaam wakuu Tunauza ubuyu toka Zanzibar wenye ladha hadhiimu yakusisimua Kwa 3500 tu pakti Moja Kwa wakazi wa dsm Unaletewa popote ulipo pia mikoani tunatuma kwa mawasiliano call 0764813643...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Je ww ni msichana mwenye miaka 22-30.. Na unapenda kufanya shughuri za mitindo(modeling)... Unapenda kusafiri nchi mbali mbali duniani? Unajua English? Una passport?... Kama jibu ni NDIO basi uko...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anaandika Edo Kumwembe katika page yake ya instagram. Namkubali huyu dada anafaa kabisa kuitwa mrembo lakini si kama wengine wanalazimisha kuwa weupe ili waitwe warembo, wengine kutoboa pua ili...
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia. Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani Jion Njema
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Mwana Jf kama uko moshi Town karibia club alberto tupige vitu huku tukisubiria pasaka.
2 Reactions
72 Replies
6K Views
% kubwa ya waliojiunga miaka ya karibuni mfano 2016 - 17 wengi wao hawadanganyi, wanaweka picha za kwao kwenye avatar zao. Hapo ndo mwisho wa ugunduzi wangu nasubiri majibu mabovu kwa watwana...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanasema ukimcheka mtu unakuwa kama yeye! Hahahahahahahaha BAKHRESA hahahahahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
1 Replies
737 Views
Mama fulani alikuwa na kijana wake wa miaka saba (7) ndani ya tax,wakati tax ikitembea maeneo ya stendi kijana aliona akinadada warembo wawili wamesimama pembeni,kijana aka muuliza mama yake wale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
```Naitwa Kaijage Rwegoshora actually I have lost my academic certificates.``` _1.Cheti cha form 4 Ihungo Sec School with Div 1.8._ _2. Cha form 6 Mzumbe Sec School HGL with Div 1.4_ _3. Cha...
11 Reactions
38 Replies
6K Views
Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom