Mhhhh
Jamaa hapo alipo kwa jinsi alivyokuwa na Hasira na yule dada yaani hapo alipo hata saivi anatamani mr kipanki mda wowote arudhe kombora moja litue Los Angeles pale
[emoji23] [emoji23]...
Wahenga walisemaga eti ukimcheka mtu unakuwa kama yeye sasa ngoja mie leo nicheke
"Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] BAKHRESA hahahahahaha[emoji14]
[emoji13] hapo ndo utajua kwanini...
Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili...
Kwa muda sasa tokea Mwanangu atimize miaka miwili ( 2 ) amekuwa na tabia za kupenda kulia lia sana na nikawa napatwa mno na hasira hadi kufikiria niwe ' namlambisha ' tu vibao kama vile...
*Story ya Mabangi..*
```Baba kutoka Mashambani alipata Safari ya kwenda Mombasa kwa Biashara. Baada ya Wiki moja, akampigia Simu Mtoto wake Mabangi kujulia hali ya Nyumbani.```
*Baba:* Alooo...
salaam wadau
Jamani hili swala si la ubishi ia ni ukweli halisi ulio dhahiri makalio ni kitu adimu na kiburudisho kikubwa kwa mafisi uchu,
na ujue ni tunu kwa wengine wapo kama kabati hawana...
Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond...
Salaaaam wakuu Tunauza ubuyu toka Zanzibar wenye ladha hadhiimu yakusisimua
Kwa 3500 tu pakti Moja Kwa wakazi wa dsm Unaletewa popote ulipo pia mikoani tunatuma kwa mawasiliano call 0764813643...
Je ww ni msichana mwenye miaka 22-30..
Na unapenda kufanya shughuri za mitindo(modeling)...
Unapenda kusafiri nchi mbali mbali duniani?
Unajua English?
Una passport?...
Kama jibu ni NDIO basi uko...
Anaandika Edo Kumwembe katika page yake ya instagram.
Namkubali huyu dada anafaa kabisa kuitwa mrembo lakini si kama wengine wanalazimisha kuwa weupe ili waitwe warembo, wengine kutoboa pua ili...
Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.
Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani
Jion Njema
% kubwa ya waliojiunga miaka ya karibuni mfano 2016 - 17 wengi wao hawadanganyi, wanaweka picha za kwao kwenye avatar zao. Hapo ndo mwisho wa ugunduzi wangu nasubiri majibu mabovu kwa watwana...
Mama fulani alikuwa na kijana wake wa miaka saba (7) ndani ya tax,wakati tax ikitembea maeneo ya stendi kijana aliona akinadada warembo wawili wamesimama pembeni,kijana aka muuliza mama yake wale...
```Naitwa Kaijage Rwegoshora actually I have lost my academic certificates.```
_1.Cheti cha form 4 Ihungo Sec School with Div 1.8._
_2. Cha form 6 Mzumbe Sec School HGL with Div 1.4_
_3. Cha...
Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI
Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI
Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza...