JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kupigwa marufuku viroba vimepata majina mapya maeneo mbalimbali. Mfano mitaa kadhaa niliyotembelea nimebaini majina mapya ya viroba kuwa ni panadol, chachandu na 4G. Wewe mtaani kwako...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Juma takatifu. Leo ni ALHAMIS KUU. Hakikisha unaendelea kutengeneza palipobomoka, takasa moyo juu ya wengine,samehe pale ulipokosewa, toa kwa wahitaji kadri unavyoweza!! BWANA atusaidie kuwa na...
2 Reactions
8 Replies
824 Views
Wale mnaofanya kazi kwenye mashirika mmewahi kutumia kigao kikubwa cha shirika(K.K.S) au kigao kidogo cha shirika(K.D.S).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau wa mjengoni hapa Mwenzenu namtafuta huyu mwenyekiti wetu wa misimamo hapa mjengoni maana naona miezi sasa sijamtia machoni mwangu hivi amefichwa wapi? Au keshabamizwa ban na hawa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
*HATARI SANA* ```Kwenye moja ya hospitali kubwa hapa mjini, kwenye chumba cha wagonjwa mahututi {I.C.U.} wagonjwa walikuwa wakifariki Dunia kwenye kitanda kimoja na muda ule ule saa 1 asubuhi kila...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
890 Views
kichwa cha habari cha jieleza..karibu tujadili
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF. Daby. BAK. Saint Ivuga. Iceman 3D. Miss Natafuta. Mshana Jr. Kisu cha Ngariba. Nyie viumbe huwa...
9 Reactions
196 Replies
7K Views
Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene. Je hali hii hutokana na nini?
2 Reactions
84 Replies
13K Views
1 Reactions
1 Replies
811 Views
[emoji23][emoji23][emoji23] *Muda pekee unaoweza kumzoea baba ako ni pale unapomfundisha kutumia smartphone,* *Wanakuaga wapole yan unaweza kumtuma hata maji ya kunywa akaleta*...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Andika jina lako kwa lugha ya Kijapani, Tafadhali Usiubadiri mchezo huu!!! Lets laugh a bit by writing your name in JAPANESE ALPHABET: A= ka, B= tu, C= mi, D= te, E= ku, F= lu, G= ji, H= ri...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
[emoji1][emoji1][emoji1]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE" SIJUI MNAISIFIAGA NINI . "anyway I wish you merry christmass and happy new year 2011" . Kumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu tena...
12 Reactions
15 Replies
3K Views
Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people Fungua link create account ujipatie dollar za bure
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefanya uchunguzi sana tu kwa dada zangu kupitia picha zanu za #fb na #insta, nimegundua kuwa hamvai kabisa nguo za ndani, hebu vaeni na nguo za ndani basi, yaan wote mnavaa za italy, canada...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi haya majukwaa huwa nasoma tu kwa nje nikijua hayanihusu hata kidogo na sina mvuto nayo The Lounge Urembo, Mitindo na Utanashati JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri) JF Chef...
0 Reactions
17 Replies
989 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…