JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1.- if u didn’t kill earthworm with salt. 2.- if u didn’t play rubber band. 3.- if u neva bath in the d rain. 4.- if nobody told u about Tanzania vs uganda 5.- if u did not sleep on the couch...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
*Kama utaona kwenye profile yangu nmeandika niko dubai na baada ya muda ukakutana na mm,basi tambua na ww uko dubai,tusifanye mambo kuwa magumu*
2 Reactions
1 Replies
793 Views
Zikitoka mnijuze nianze kusoma kwa bidii
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Picha inabeba ujumbe
1 Reactions
5 Replies
599 Views
kama kichwa cha habari kinavyojielezea kwa ndugu zangu watumiaji wa mitandao ya kimahaba kama vile hitwe, Badoo, tizag,Instagram,whatsup etc hebu tupeane NONDO za maneno na kupeana ujuzi...
19 Reactions
443 Replies
26K Views
R.I.P KISWAHILI[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Vipi~ *vepe* Nini~*Nene* Asante~*tantee* Powa~*pouwaa* Oyaa~*OI* Fresh~*fuleshi* Mama~*bi mdashi* Baba~*mzee*...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
THE BAR NOTICE OF 2012!!! Spotted at KARUMAINDO BAR in Othaya. 1. Ukifanya order, unaturia,usishide umekubusha waiter, yeye ni mutu mzima anakubuka. 2. Ukirewa urewe peke yako, usianze kuiba...
13 Reactions
22 Replies
13K Views
. When a herdsman dies, his son inherits his cows., but when a professor dies his certificates becomes a waste. *Moral Lesson:* *use your school fees to buy cows*
3 Reactions
0 Replies
668 Views
Kama ungekua wewe ndo dereva abiria yupi ungemshusha kwenye gari yako kutokana na usumbufu wake? Ukikimbiza gari kidogo analalamika wewee punguza mwendo Ukiendesha Spidi Ndogo wewee tutafika saa...
1 Reactions
4 Replies
633 Views
Tunataka kupima IQ zenu wanaume. Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu. Swali la kwanza; Assume mwanamke kachukua cheni...
2 Reactions
81 Replies
9K Views
Hivi ukifungiwa kwenyee stoo ya hela bank alafu uko uchi utaficha wap hela utoke nazo na utatoka na sh ngp iv?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haya yametokea jana.Mume anampigia simu mke wake MUME:Hallow D MKE:Hallow,mbona leo umechelewa sana? MUME:Leo nimetekwa,nadhani nitaachiwa J'tatu jioni MKE:Mungu wangu,sas......... MUME:Hallow D...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni mbinu za kuwa mfungwa hukooo kwa mzee Tump kwa muda tajwa maana kama vile pashanichosha
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Umuofia kwenu lediz&gentlomen.... Wakuu naulizia wapi ntapata gym kwa hapa Dodoma mjini?!naona kitambi kinaninyemelea wakuu,msaada tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TAFAKARI CHUKUA HATUA. hivi hawa wauza karanga za kutembeza wakienda chooni kapu wanaliweka wapi?.........USICHEKE NIFAHAMISHE!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni simulizi la ukweli linalo husu maisha ya kijana Lugwisha , kutoka kitongoji cha Goweko, wilayani Uyui mkoani Tabora. Kijana Lugwisha, baada ya kumaliza shule ya msingi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
KUNA MAMBO YANASHANGAZAA.. Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje? Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Right wangekuwepo sipati picha wangapi wangekuwa members maana wabongo kwa mtelezo noma.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Chukulia kila kazi iliyopo ulimwenguni mshahara/malipo yake yangekua Tsh 2,000,000 kwa mwaka, ambapo masaa ya kufanya kazi yangekua sawa kwa wiki na muda wa likizo ungekua sawa, Ni kazi gan...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom