How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients
If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients which are very often available in grocery stores. These...
Watz ni watu wa kufade up things fools day imepotezewa kama ilivyopotezewa Valentine day! Safi sana ila Watz tupunguzeni uboya na kushadadia mambo ya nje [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]...
Msichana Unatoka Kwenu Unaenda Kwa Jamaa Mnafanya Yenu Mnamaliza Unaanza Kufua,Unaosha Vyombo, Unafagia Na Kudeki Ndani ,Unapika Mnakula Baada Ya Kumaliza Jamaa Anakwambia Mwanaume Atakaekuoa...
*Dr. Mwakyusa:* Dada niwekee petrol full tank tafadhali
*Fuel attendant:* Sir, I don't speak swahiri, I only speak English
*Dr. Mwakyusa:* Ok! good morning my dear, I currently feel a profound...
*Nimepitia njia ya police station,,
nikaona gari yao imeandikwa
4WD×4WD sasa mimi nikachukua marker pen nikajaza = 16W²D² ,, sahiii niko kwenye Landrover yao wamenilazimisha kupanda nadhani...
Ni kweli kwamba ile kampuni ya magari na zawadi nyinine ndogo ndogo ya japani inayoitwa CAR FROM JAPAN inatoa zawadi kwa watu ambao watashiriki katika shindano linaloendeshwa na kampuni hiyo lengo...
Nimepata habari kuwa Leo ni sikukuu kubwa sana hapo Lumumba ya kujipongeza. Wenyewe wanaiita Bashite day. Kila lakheri na siku yenu na muendelee hivyo hivyo hata na vizazi vyenu kuitukuza siku...
Ni katika magazeti ya kesho
Heading: Hatimae Mkulu atengua uteuzi wa Bashite.
usisahau kesho ni siku ya wajinga duniani hivyo uwe makini na habari za kesho.
Pro-UKAWA kama hiyo habari...
Leo ni ile siku ya #MaBashite #Duniani 1st April, so usije ukaona breaking news leo morning eti "#Rihanna afunguka jinsi anavyomzimikia #HarmoRapa kitu ambacho kimesababisha #Drake kumuwekea #bifu...
Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.
Mtalii: OK, fine, do you...
[emoji173] Lala salama kipenzi changu cha moyoni lala huku ukiendelea kuwa na imani ya dhati kuwa mimi ndio mwanaume nikupendae kwa dhati milele maishani [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Huwa...
Habari Wadau wa Chit-Chat,
Tukiwa tumebakisha masaa kadhaa kabla watu na vijarida mbali mbali kutufanya wajinga kwa muda mfupi katika maadhimisho ya sikukuu isiyo rasmi April Fools' Day.
April...
Asije mtu akaingizwa chaka bure, kwa kweli huu ujinga wa wazungu si wakushabikia hata kidogo. Uongo ni uongo tu na si jambo la kufanyiwa mzaha. Nakumbuka mwaka juzi Redio Zanzibar ilitangaza kuwa...
Ndugu jamaa na marafiki hususani wafanyakazi wa serikalini na sekta binafsi.waliopo ndani na nje ya nchi sina chochote cha kuwaambia...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara...