JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Njiwa Njiwa peleka salamu Oo kwa yule wangu muhimu Mueleze afahamu Kwamba ninapata taabu Hali yangu mahamumu Oo maradhi yameni siibu Chorus Eewe njiwa x2 Peleka salamu Kwa yule x2 Wangu muhimu...
8 Reactions
46 Replies
10K Views
Hivi bado unaamini ukienda kwa mganga kwa ajiri ya Ashura jirani yako unaweza ukampata
1 Reactions
1 Replies
2K Views
[emoji3] [emoji2] Watu wasiojulikana wamevamia kwenye Jengo lisilo julikana wakiwa na silaha zisizo julikana na kufanya tukio lisilo julikana na kumtekanyara mtu mmoja asiye julikana na kutokomea...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Hata Yesu na Mohamed walijaribiwa ili kushinda majaribu ya shetani.Turudi kwenye mada ninaposema Mwepesi mwepesi namaanisha yaani mlaini laini ndio maana anafunga profile lake huyu hana tofauti na...
2 Reactions
98 Replies
5K Views
Those days men married women who were virgins and the dowry they gave was yams, beer and honey.....nowdays a gal lost her virginity at 12yrs and you are her 46th boyfriend....on top of that her...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Pretoria.. huku ughaibuni kwa mzee Jacob Zuma... MMU wapo kweli? wengine tushakuwa wa zamani sasa.. Najiuliza kwa sauti tu..:):)
0 Reactions
1 Replies
666 Views
DOKTA yupo na WALEVI anawapa ushauri wa bure kabisa Kuhusu afya zao...! DOKTA :- Jamani hamjui kwamba Pombe inaua polepole? MLEVI mmoja Akajibu :- Kwani nani kakuambia SISI tunaharaka..?
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Dem: My huby... Mimi : Yes my love... Dem: Nakupenda... Mimi: Hata mimi najua... Dem: Baby hauna nguo za kufua? Mimi: Ninazo mpenzi... Dem: Nakuja hubby ila naomba uniandalie na hela ya shopping...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa. Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza...
14 Reactions
29 Replies
5K Views
Hebu zisome hapa Tabia za Mwanaume BAHILI na Mwenye Roho ya kimasikini. 1. Anapenda sana kuweka Coin kwenye wallet yake, ukiiona suruali yake unajua kajaa noti kumbe vyuma, wallet ina nusu kilo za...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa jinsi nilivyosoma kwa shida... mtu akinikashifu sina vyeti... ningebandika hadi matokeo ya tuition...!!
1 Reactions
0 Replies
945 Views
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. 3 Mungu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
ENZI IZO NASOMA SEKONDARI Mwalimu alikua anapenda leta hesabu za familia unakuta hesabu inasema. John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sister: Mambo vipi bby Brother: Poa mrembo hujambo? Sister: Sijambo bby. Sister: Bby mara hii nataka pale hostel niwafunike wote. Brother: Hamna shida bby Mara hii ntakununulia turubai kubwa sana...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
I find this to be true!
13 Reactions
108 Replies
8K Views
MCHAGA HATA APATE KAZI BANK BADO ATASEMA YUPO KIBARUANI. SASA MHAYA APATE KAZI MACHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA. UTASIKIA "I WORK AS A CRUCIAL ENGINEER IN A MONOCOTYLEDON FINALIZING COMPANY"
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima.. Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
nini ulishawahi fanya utotoni ambacho hujawahi kuwaambia wazazi au mzazi wako/ mlezi Mimi niliiba kuku wa majirani flani nikawapaka rangi nikamuuzia huyo huyo mhusika
3 Reactions
4 Replies
955 Views
nini ulishawahi fanya utotoni ambacho hujawahi kuwaambia wazazi au mzazi wako/ mlezi Mimi niliiba kuku wa majirani flani nikawapaka rangi nikamuuzia huyo huyo mhusika
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Habari zenu wana ndugu, andika kitu unachopenda kushare ukiwa na mpenzi wako.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom