1. Tundu Lissu
2. Paul Makonda
3, **M a *** li***
4. Mange Kimambi
5. Gwajima
6, Mbwana Samatta
7, Diamond
8. Thomas Ulimwengu
9. Ali Kiba
10. Bujibuji
Kama ulikuwa hujui ndo nakujuza...
Ukiwa Dar es Salaam maduka ya mchele huwa yanajinadi kwa mbwembwe MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA
Ukishafika Mbeya unakutana na maduka ya mchele yakijinadi
PATA...
Habari wana jamvi,
Leo si ndio wanaita TBT(throw back thursday) eee...embu tukumbushane enzi zile primary school ile siku ya school baraza mambo yaliyokua yanajiri shuleni kwenu,
Kwetu sisi ilikua...
Ni Tanzania tu
Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika
*LIPA KWA M-PESA*
Halafu pembeni wameandika
*TAFADHARI ZIMA SIMU*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania...
Jana mwanangu Mkundee aliniuliza swali la kizushi, Eti baba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu? Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga. Kisha nikamwambia, Siku nyingine...
1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you!
2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe amani na upendo katika familia yetu...
*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi...
*Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini #ALWAYS na FREESTYLE hawaonyeshi kitu chochote??*
[emoji276][emoji276][emoji276]
Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani!
Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana kabaskeli kake hapa...
nyuma kana begi lina picha za...
Habari Gani..........??
Karibu Sana Tanzania Ambapo Julieta Anatoka Na Ayub, Halafu Anabeba Mimba Ya Michael,
Issa Anahudumia Na Ismail Ananunua Vifaa Vya Kujifungulia Halafu Geoffrey Na Hamis...
I had been admiring this neighbour’s wife.
She always gave me this seductive smile whenever we greeted each other and I didn’t know how to approach her to tell her of my desires because she is...
Palitokea Mzungu mmisionari aliyefika kijijini hapo ambapo ambapo alipokelewa vema na wenyeji ambao ni wakazi wa hapo mzungu mmisionari huyu katika kujitambulisha na kueleza nia yake hasa ya...
Leo tumeenda canteen kwetu hapa na Wafanyakazi wenzangu mambo yakawa hivi
Mimi: samahani Dada naomba Supu chapati mbili
Wenzangu : Wengine sambusa chai, chapati chai
Mimi: Dada waletee na hawa...
Kuna marafiki wamekuwa na tabia ya kufanya ujasiriamali mitandaoni...
Sasa wameshaniboa unakuta mtu unafungua insta yako uone walimwengu wanaselfikaje, alafu unakutana na mtu mmoja kajaza picha...
Ni vizuri kuelewa jina lako au la mtoto na maana yake, kuna mambo mengi hukutokea kwa uzuri au ubaya lakini yawezekana na jina lako linachangia au asili ya jina lako
Kuna wengi wetu wamepewa...