Habari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ?
Karibuni sana tupeane mawazo.
Usichafue ustaarabu.
SIPENDI TABIA HII MIMI
Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama...
Ama kweli dunia ina maajabu na ukistaajabubya Mussa utaona ya firauni. Watu wengine wanadai mwanadamu hata uwe na akili vipi lakini kuna muda utafanya upumbavu. Hiki ndicho ninachoweza kusema...
Tunatakiwa kujenga Utamaduni wa kutakiana heri kabla ya kutupia hoja yeyote ndani ya JF. Naamini hamjambo. Mungu awatangulie ktk shughuli zenu za kuwa nzima.
Wanazuoni Nina maswali mawili.
1: Mtu akimtaliki mkewe halafu baadae yule mtu akafariki, je yule mwanamke ataitwa mjane??
2; Mwanamke alietalikiwa halafu akaolewa na mume mwingine , je huyu...
Jamanii mitandao ya cm nyoko[emoji38]..Tigo Wamekuja na Halichachi Airtel wakaja na Halivundi Jana voda wakaja na Haliishi..Leo nasikia Zantel wanakwambia achana na Viporo...Lol Bado Haloteli
Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe...
Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026.
Itajikita kwenye upendo kwa jamii .
Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira.
Itatetea pia wanyonge na...
Women are so difficult to accomodate.
At 18, they want handsome men.
At 25, they want matured men.
At 30, they want successful men.
At 40, they want established men.
At 50 ,they want faithful...
01. Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya...
......Fikiria mke wako ni Mange Kimambi halafu Baba mkwe wako ni Mch. Gwajima na Tundu Lissu ndo shemejiyo, hapo ndo utajua ndoa ndoano....!!! [emoji28][emoji28][emoji28]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.