Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale...
KWA WANAUME:
[emoji109]Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia...
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi…
Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka...
Nimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF
Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri
Kwa uzoefu wako...
Bosi mmoja aliyemfukuza mfanyakazi wake kazi alilazimika siku moja kulala macho yaan kukesha baada ya kuona kila siku akiamka asubuhi anakuta kinyesi mlangoni mwake, sasa siku moja akaona akae...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
Ndugu mtanzania mwenzangu, najua unapenda sana vitu vya dezo, ila katika utawala huu itakubidi tu ulipie umeme kadri unavyoutumia. Watanzania tufanye khaazi (in John's voice)
* CAMERAMAN WA ENZI HIZO. ...* [emoji57][emoji57]
Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana...
Ndugu wana Jf nina uhitaji wa T-Shirts aina ya form six za rangi ya njano iliyo kolea kwaajili wanafunzi. Kama unazo au unajua zinako patikana naomba tujuzane.
Nimeanza kuflirt nae mda kidogo,we clicked yani...
basi tukawa tunaenda na flow....
He is a very busy man...
I know he is taken and so am I...
We both didnt have the intention of going...
Kuna jirani yetu mzungu alikua anafanya kazi katika kampuni fulani hivi hapa town.
sasa alikua ana paka wake huyo anampenda sana,anampa chakula,anampa huduma zote muhimu mpaka kwenye gari lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.