Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya ndio yaliyotokea jana baada ya wamama kuondoka na kuwaachia waume zao nyumba kwenda kusheherekea women's Day...........habari kamili wanazo watoto...
AJIRA NGUMU!!
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa...
Katika tembea tembea hukoo kuna kitu/vitu tunajifunza kuhusu mambo mbalimbali. Binafsi nimefahamu mengi pamoja na baadhi ya madawa ya kiasili ya ukanda huo. Madawa yatokanayo na majani au miti...
Basi nimepita maeneo ya Buguruni kwenye msiba, Punde Kuna mtoto alikuwa anapita na babu yake karibia na Msiba, akaona watu wanalia, akamuuliza babu yake, Eti na hawa wote hawana vyeti mbona...
Wakuu leo ni siku ya wanawake duniani na hivyo basi leo nataka tumpate malkia wa nguvu wa JF .
Msichana/Mwanamke yupi unaona anafaa kuwa malkia wa JF?
Twende kazi.
"Safari ya chizi siku zote huwa ndeeefu lakini mwisho wa siku anarudi na makopo" JERRY MURO
Usiku mwema Mikia wa msimbazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hata cjui kwa nini ,labda kwa sababu tunafanana ID..nampenda tu lakin(SIYO KIMAPENZI BAUNGWANA MSINISHAMBULIE BURE)
NASISITIZA TENA SIY KMAPENZI MANA WATANGANYIKA MKISIKIA KUPENDA MNAWAZA MENGINE TU
Pamoja wakuu!!
Nina safari ya mwanza kesho kutokea kahama, sina mtu ninaefahamiana nae huko niendako na nitakuwepo kwa zaidi ya miezi 2 kikazi.
Naomba kwa wadau walioko humu wa mwanza naja...