Mnakaribishwa kwa mambo mbalimbali kwa yale msiyoyajua kuhusu mazingira yetu na vingi vinginevyo tutakua tunahabarishana hapa!!
Karibuni!!!
Flag of Norway contains Flagvof:
1.Indonesia
2.Finland...
Ausindile?
Leo nimeona tujuane sisi wana Jf wa mkoa wa Morogoro ikiwezekana kutaja mahali ulipo tu.
Unaweza ukajikuta upo jirani na mwana jf mwenzako mkawa mnasaidiana kwenye shida na raha...
*BREAKING NEWS!* _*Nimefatilia taarifa ya press mpya MAKONDA juu ya UNGALIMITED arusha ni kwamba lema na jaji mkuu kifo cha yule dada aliyesema kabakwa hadi kufa ni kwmb diamond plutnum ndo msanii...
Sabakher wadau;
Tuliosoma Bihawana Boys Tukutane Hapa!
Mi nilimaliza A LEVEL Pale PCB Mwaka 2011! Darasa La Karibu Na Bweni La Soweto!! Nilikuwa Nalala Mandela! Bweni La Wapenzikaji!! Kuja Hapa...
Wakuu nawasalimu,
Yawezekana Kichwa cha habari Kimekuvutia mno na ndio maana Uko hapa si ndio? Lakini siwezi nikashangaa Uwepo wako hapa katika post hii kwa kua wewe ni mmoja wa Hawa nitakao...
Naomba members wa Skauti waliomo humu tufahamiane au ulishawahi kupitia Skauti
Yogoooo yogi yogoo
Impizaaaaaa
Skaut alino
Skauti c mjinga na mjinga c skauti
Leo nimechoka zangu alafu shangazi
amekuja anataka nimuunganishe
facebook.
Imebidi nimwambie lazima awe na
picha passport size 4 kwaajili ya
kuweka profile picture, Barua kutoka kwa afisa mtendaji...
Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa me born town. Nimenunua Kwake karanga za 100 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu.
Basi ameniomba...
Do u know that marriage is the cheapest way of having sex? According to me. U pay 2m mahari once off and you stay with the woman for 20 years which is 240 months. Meaning per month its going to...
Bwana mmoja alisafiri kwenda kijijini, alipofika akakuta mtandao wa simu unapatikana bila matatizo. Akamwandikia mke wake sms. Kwa bahati mbaya akakosea namba na ikamwendea mtu mwingine ambaye...
Kitambo nilitoweka hapa,
Nipo, chotara mie kuna yaliyonikumba nimewakumbuka MMU, long time sana.
Jana nimetoka ofcn nikapita kula madafu agakhan si nikakutana na Yahaya..... nikauchuna...
Habari
nitakungulize SAMAHANI kwa nitakayo yaandika hapa.
tangia nianze kujua mapenzi niliyekuwa wa kwanza kumbanduaga alikuwa chakudoa nikiwa na miaka 24 sasa nina 26. niliajiriwa mwaka 2013...
Tarehe kama ya leo,Jumanne ya tarehe 16 mwezi Februari mwaka 1982 nilizaliwa.
Nikitimiza miaka 35 leo,namshukuru Mungu kwa yote ninayoyapata,kuyasikia na kuyaona. Nawashukuru,ingawa wote ni...