JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
voda vocha 10023954031079___ voda buku malizia namba moja wakwanza zawadi kwake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
```Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Hii ni thread huru kwa yeyote kuandika maneno ya pumba aliyowahi kukutana nayo lakini ukiyatafakari unaona yanaleta maana fulani katika jamii ya leo. Mimi naanza na niliskia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
helooooooo,hope hamjambo kama tunavyojua jamii forum members ni sawa na ndugu, nipo arusha kikazi tangu juzi,kesho naondoka zangu kama kuna Jf member wa kike yupo arusha aniPM leo tukutane jion...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..! MIAKA YA: 1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu "NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!" MIAKA YA: 1991-1995. Walikuwa wakijibu "NIMEKUBALI lakini...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ciello Samahani sana wapenzi wa JF chit chat, kwa ukimya wa muda mrefu. Leo mjengoni nipo na Ciello, mshindi wetu wa Miss Chit Chat wa mwezi Novemba 2012 ,ambaye kutokana na ushindi wake huo...
4 Reactions
244 Replies
16K Views
Ndugu yangu chukua tahadhari mapema sana, usije ukaenda cafe yoyote ukala vyakula kama pizza, chips kuku wa kienyeji, sandwich, egg chop, bagga, maini, biriani, beef meet chop nk bila ya...
1 Reactions
2 Replies
712 Views
Popote ulipo RC upate afya,hekima,busara,nguvu na moyo wa chuma wa kutoogopa lolote....
0 Reactions
6 Replies
851 Views
Hii ni guest gani??Na huyu mwenye hii guest aliwaza nini na wateja wake niwaina gani?? maana sidhani unanyumba yako umeamua kuwekeza katika nyumba za wageni unaweka kitu kama hiki yumkini akili...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
HAPPY VALENTINE DAY Leo sasa kama hujawekwa profile picture usipaniki kunywa maji mengi nenda kukojoa[emoji23] ukikuta no call wala text kunywa maji mengi kakojoe[emoji23][emoji23] UKIZIMIWA CM...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu kama mjuavyo Leo ni siku maalum ya wanaopendanao. Kwangu mm ni siku ya upweke kwa kuwa baba watoto aliitwa na makonda mpaka Leo hajarudi. Nahitaji company kwa mwanaume yyte ambaye hana...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
Wanawake wafupi na nguo zao nyekundu wanachekesha sana wanaonekana kama fire extinguisher
1 Reactions
0 Replies
463 Views
Kwa sasa ninaingia steji ya utu uzima (Nnakaribia kuingia miaka 25) ninaweza kusema naingia rasmi utu uzima kwa kujitambua to the next level na hivi ndivyo vitu navyotaka kuvifanya katika idara...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Baada ya wanandoa (mke na mume) kuishi maisha ya ugomvi kwa muda mrefu, siku moja mume akampiga sana mkewe, mkewe kakimbilia kituo cha polisi mambo yakawa hivi; mke: Afande nimepigwa sana nusu...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuwatakia siku njema, enjoy kwa kiwango....tusherekee vizuri tuwakumbuke na kuwasaidia yatima, walemavu, watu wasiojiweza na wengine wote wanaohitaji upendo wetu hasa siku ya leo.
3 Reactions
9 Replies
918 Views
Kuna vitu vingine ni vya aibu sana mtu mzima ukivifanya utaibika. Leo nimeenda chooni huku chuoni kwetu basi bhaana kuna mtu kajisaidia haja kubwa yananuka ile kisela lakini hajaaflash wala nini...
1 Reactions
69 Replies
8K Views
Za asubuhi wana-JF Nashangaa eti hata mimi nimeonekana nauza ngada kisa tu mali hutu tuchache nilitonato. Aaaah siyo kesi nitaenda kuwasikiliza wanasemaje
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamanii pepsi ina nini ,,ile ya 500 ,acha ile peps diet ile yenyewee jamani wameweka tuninii ,,nikiiona tu natamani kunywaa jamani,,leo nimejikaza siku nzima sijanywa naona siku ndefu wallah,,na...
7 Reactions
93 Replies
7K Views
*Eti unaenda na dem geto alafu unamwekea muvi za ngumi Uko siriazi na kazi yako kwelii?????*
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom