Kati ya yote ulopita sijaona la kunifanya nisikupende
Mm si tajiri ila ninauwezo wa kukupa furaha na amani
Na zawadi yangu kubwa kwako in penzi la dhati na nakuahidi sitafanya jambo la...
Habari zenu wana jf.
Tafadhali naomba kama mtu anayeweza kuwa na tangazo fulani, nadhani ni la mfuko wa kijamii.
nililisikia kipindi fulani redioni lakini sasa hivi silisikii tena.
Anayeweza...
wanajukwaa kwanza kabisa heshima yenu,
Namshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kufikia mwaka mwingine wa maisha
pia nawashukuru wanajamii wenzangu kwa michango yenu ya akili na ujuzi tunaopeana...
Je wana jf naomba kujua je ninaweza kwenda polisi kuomba kuuona unga live ili siku nikiuona live nikaripoti polisi
Yani kiufupi Mimi cjawahi kuuona sasa je naweza kwenda polisi nikaomba...
habari zenu .... huu mkasa umenikuta Jana nlipotoka town ambapo nilikuwa na mshikaji wangu tunatandika masanga tuliangusha bapa au lusekelo kubwa tatu mpaka mida ya SAA tano kasoro tukaagana mzee...
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar"...
*Vuta picha ww ni mwanachama wa Yanga. Unaipenda Chadema kindakindaki halafu unasali kwa mchungaji Gwajima*
[emoji23][emoji23][emoji23] *My friend Mungu akutie Nguvu*
~benglasis
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar"...
watu wa Dar kwanini mnapenda kubeba zawadi ya mikate mkienda mikoani? nilijua siku hizi mmeacha lakini kumbe mnaendelea. wote mnabeba mikate utafikiri mmeambizana. mbaya zaidi ikifika na nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.