JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kati ya yote ulopita sijaona la kunifanya nisikupende Mm si tajiri ila ninauwezo wa kukupa furaha na amani Na zawadi yangu kubwa kwako in penzi la dhati na nakuahidi sitafanya jambo la...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf. Tafadhali naomba kama mtu anayeweza kuwa na tangazo fulani, nadhani ni la mfuko wa kijamii. nililisikia kipindi fulani redioni lakini sasa hivi silisikii tena. Anayeweza...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
wanajukwaa kwanza kabisa heshima yenu, Namshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kufikia mwaka mwingine wa maisha pia nawashukuru wanajamii wenzangu kwa michango yenu ya akili na ujuzi tunaopeana...
0 Reactions
5 Replies
535 Views
Mimi ni mzawa Wa kigoma maeneo ya Kasulu Mjini. Kama nawe ni Wa huko tufahamiane. Tulashashe!Numuze gaa
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Naona kwa mbali yatafuata majina ya Wanywa VIROBA Na K VANT Hapa itabd Kituo cha polisI kiwe UWANJA WA TAIFA
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona famasi za huku kwetu hawaandiki tena duka la madawa eti wanaandika duka la mtu anaeumwa. makonda bwana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Je wana jf naomba kujua je ninaweza kwenda polisi kuomba kuuona unga live ili siku nikiuona live nikaripoti polisi Yani kiufupi Mimi cjawahi kuuona sasa je naweza kwenda polisi nikaomba...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
No matter how sweet is sexual intercourse... you can't ejaculate while smiling
2 Reactions
0 Replies
852 Views
99% ya wanaume hushika tupu zao wakati wa kukojoa, asilimia 97/99 kwa mkono wa kushoto. Na asilimia 98/99 hawanawi mikono baada ya kumaliza
0 Reactions
1 Replies
625 Views
wakuu huu ni uzi maalum wa kusema chochote kile kutoka ndani ya miyo wako, inawezekana hujapata nafasi ya kuyasema popote pale.... tiririka
1 Reactions
42 Replies
4K Views
habari zenu .... huu mkasa umenikuta Jana nlipotoka town ambapo nilikuwa na mshikaji wangu tunatandika masanga tuliangusha bapa au lusekelo kubwa tatu mpaka mida ya SAA tano kasoro tukaagana mzee...
13 Reactions
33 Replies
6K Views
Kuna watu ukiwapunguza kwenye maisha yako ata mungu anakubariki.. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
4 Replies
838 Views
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar"...
1 Reactions
1 Replies
882 Views
Eti Makonda.!
4 Reactions
11 Replies
3K Views
*Vuta picha ww ni mwanachama wa Yanga. Unaipenda Chadema kindakindaki halafu unasali kwa mchungaji Gwajima* [emoji23][emoji23][emoji23] *My friend Mungu akutie Nguvu* ~benglasis
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukibisha acha.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar"...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
watu wa Dar kwanini mnapenda kubeba zawadi ya mikate mkienda mikoani? nilijua siku hizi mmeacha lakini kumbe mnaendelea. wote mnabeba mikate utafikiri mmeambizana. mbaya zaidi ikifika na nyie...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau mwenye nyumba wangu kaweka tangazo eti marufuku mtu kupiga makelele pindi wawapo sita kwa sita jamanii huu ni uonevu wa Hali ya juu
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…