*Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTE[emoji39]MKAPIME[emoji19]"[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Saizi nipo...
Mimi ni kijana wa Kama miaka 22 na ni mwanafunzi wa chuo flan hapa DSM .
Kuna msichana nimekuwa nikidate nae for about three months now.
Mwanzon kabisa hakuwa tayari hata kukutana na mimi but...
There was a group of women at a seminar on how to live in a loving relationship with your husband. The women were asked, ‘How many of you love your husbands?’ All the women raised their hands...
Habari za siku waheshimiwa wana jukwaa,natumai Mungu anaendelea kuwalinda na kuwaongoza katika familia zenu na katika shuguli zenu za kila siku.Nitumie nafasi hii ya siku ya kuzaliwa kwangu ambapo...
Watoto wa kike tabia yetu ni kutoridhika hata tupewe nini kazi yetu ni kulialia tu yani
Hivi inakuwaje mtoto wa kike upewe show nzuri na na mwanaume wako na bado umchune?
Siku zote wakuwachuna...
Baada ya msanii Harmo rapa anafananishwa na harmonize kupata umaarafu na kutoka kisanii...
Neno RAPA hivi karibuni linaweza kutumika rasmi kama neno lenye tafasiri Sawa na KUFANANA.
Hivyo basi...
Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi
Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5...
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie
lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa...
Kuna sehemu leo hii nimepita nikasikia watu wanajadili kuwa eti mafundi ni waongo sana, tena ndio wanaongoza kwa uongo kwenye mahusiano, kazi na mengine, tena wakahusisha sana mafundi...
Habari zenu, si mara ya kwanza kumsikia mtu akisema meno humuuma pindi mtu akisugua kitu cha bati au chuma mfano kunoa kisu katika sakafu, sasa naomba kujuzwa hivi kuna uhusiano gani kati ya meno...
Ah... nimekukumbuka kweli Yondo mpaka asubuhi wakati niko njiani nikaanza kucheka mwenyewe.... walikua wananiita Kanda bongo man na wewe walikuita Yondo sister... pale kijiji ilikua kunzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.