Salaam wakuu,
Za muchana? How's the weekend? Huku kwetu mpigi magoe ni kwema tu.
Sasa wakuu, kitu kimoja. Nimekua nikiona kwenye movies katika romantic scenes na hata kwenye some of the music...
Good afternoon madam,
Dont be offended, ofcourse am kidding! Salaam wakuu, kwa hakika mambo ya unyunyu ni unisex maana kila mtu anapenda kunukia vizuri tu. Sasa katika maswala ya categories za...
x mass inakuja wale wanaume kwa wanawake mlio zoea kupewa tu na nyie mjifunze kutoa jamani
hata kizawadi kidogo kwa mwenzi wako au nduguyo mara moja kwa mwaka sio mbaya acheni uchoyo.
inapendeza...
Wakati Tanganyika ikisherehekea miaka 52 tangu kuzaliwa kwake, naye huyu gwiji wa Duru za Siasa humu JF Nguruvi3 anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa siku ya leo.
Mwenyezi Mungu akujalie maisha...
bidada dutchess of toronto mugshot alipokuwa akiishi florida marekani. huyu dada alivamia hasheem baada ya hasheem kumtolea nje cousin yake mange kimavi, pia wamesoma zimbabwe na mange. huyu...
Wadau wapendwa wangu Chtcht habari zenyu .
Jana tr. 13 Nov 13 nimetimiza miaka miwili iliyokamilika hapa Jamii forums .
Si haba kuufikisha umri huo , si pafupi sana , aidha si parefu sana...
jamani naombeni mtipatanishe na FARKHINA maana anasema hanipendi sija mkosea chochote sio hanipendi kama babay wake hamna kama rafiki yake nisaidieni kwa hilo
guys, let us put our idz aside, today we are going to generate new id's live from mmu..
what is your also know as name?
mi naitwa economiser!... wapi lara 1, The Boss, Heaven on Earth, Nyani...
Happy birthday my dear.May your day be super bright and super special.
charminglady bring the champagne out and the good wines tucelebrate sie.
Kwa hisani ya measkron na watoto wooote wa watu8
Sijawahi kuona Bishanga kufulia hadi kukosa pesa ya bundle...!
Alijifanya bepali la kihaya kujitwika JF Tanzanite Member kumbe pesa ni za mkewe The secretary , wamegombana mke kabana mfuko jamaa...