JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dogo mmoja alikua amekaa na dingi yake,Ghafla demu wake akaja. DOGO:karibu sana,vp umefata kile kitabu chako cha 'SPEAK ENGLISH MY FATHER CANNOT UNDERSTAND? DEMU:ndio,nipe na kile cha 'WHERE CAN...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
People are not as nice as animals, if animals wanted anything more than regular meals and shelter, the'd be just like people. people don't want only what they need. They want more , always more...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Niko so upset jaman..yan hadi usingizi sina..i need some one to comfot me right now jaman
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Salam wakuu, Za mchana! Kuna huu mtindo umeenea siku hizi wa kufowardiana hizi sms za kidini sijui tuma kwa watu 10 ndani ya dakika kadhaa utapata muujiza na ukipuuzia utalaaniwa. Hizi sms...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
1.Kuhesabu nywele zako 2.Kuosha macho kwa kutumia sabuni 3.Huwezi kuhema ukiwa umetoa ulimi nje. Mmmh hebu rudisha ulimi wako ndani nakuzingua tu!
8 Reactions
40 Replies
8K Views
Hivi matatizo ndo yanapunguza hela au hela ndo zinapunguza matatizo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hawa wanyama walikula Malura bwana yaani ni noma angalia tu hii video
1 Reactions
3 Replies
5K Views
...........
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. kabla hatujamaliza mwaka napenda kutoa kitu ambacho sintosahau 2013. >ilikua april 2013 saa 4 usiku maeneo ya magomeni kagera. nimetoka kununua wali kwa mama ntilie niende...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A Little Boy was happily reading his bible while waiting for a bus to convey him to school. Every minute as he read on he would exclaim; Hallelujah, praise thy Lord, amen!. A guy heard him...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Si kama kawa leo natoka zangu kwangu Lumo kufika stendi pale njia panda ya Kwa limboa ikaja daladala, kama kawa konda kaita "mwisho wa lami miatatu ikirudi rozana buguruni" nikajitosa, kwa maana...
9 Reactions
98 Replies
6K Views
Wakuu salamu natumai muwazama kama mimi kiafya na munaendelea kusukuma gurudumu la maisha kama kawa.baada ya kurejea ndani yakijiji kutoka huko ughaibuni siku kadha zilizopita nilifurah kuwakuta...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
wana jukwaa.. hebu cheka huku ukitafakari! soma kisa hiki! Jamaa flani alikuwa anatembea mtaani mchana huku akiwa na njaa kaliiii! Mara akaona bango la restaurant moja limeandikwa; 'KU-LA...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa siku kadhaa sasa ukifungua tu computer yako kwenye JF unakumbana na picha inayofanana kabisa na mtangazaji wa ITV/radio one Abdallah Mwaipaya, Mzee Mandela akiwa kijana anafanana na huyu Bwana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Oh Lord, don't let me cheat on my girlfriend, cause as far as I can see, She loves only me, Oh Lord, don't let me cheat on my girlfriend, but Lord if you can't stop me From cheating, just...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
This Student obtained 0% on an exam, even though his answers were technically or literally correct! Q1. In which battle did Napoleon die? * his last battle Q2. Where was the Declaration of...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mungu akiwa dereva wa maisha yako, shetani haombi lifti - Mzee Makamba. Mungu akiwa dereva wa maisha yako, shetani haombi lifti -
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Sumbawanga... Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
...............
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa uchi, konda akawa anamshangaa,jamaa akamuliza konda unanishangaa nini? Konda;, Sishangai uchi wako najiuliza nauli umeweka wapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom