Binti alitoweka kijijni kwao akarejea baada ya miaka 3
Baba; We mtoto ulipotelea wap?
Bint: Nlikua nafanya kazi ya UMALAYA Marekan!
Baba; Mshenzi, umetutia aibu, toka na usikanyage tena...
Good morning Ladies under Gentlemen (Sosi: Idd Amin)
Natumaini hamjamboni nyote hapa jukwaani, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awaponye .
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa...
1,Betri inajaa baada ya
dakika tatu,
2. Ina TV, tochi, mswaki,
kiberiti cha sigara,
3. Ndege ikipita, simu
inaandika 1 MISSED CALL
4. Ukiwa karibu na jiko,
inaandika CHARGER
CONNECTED na
5...
Sio unakurupuka 2 kitandan utafikir jengo limewaka moto, Amka kwa poz, KWANZA JINYOOSHE MWILI ILI UJUE KM UKO FIT, KOHOA KIDOGO ILI UTEST SOUND LINE,ELEWA SHWETAN NI GAID PENGNE KAIMUTE,THAN...
Jamani natafuta wa kumjua humu ndani.
Awe mmoja tu, wakiwa wengi itakua karaha.
My wife ni mmoja wa moderator humu mjengoni, so usini-mention jina atanuna, nitanyimwa kifungua kinywa cha...
ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi...
Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa...
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, mambo mabaya yote ni mkono wa shetani.
Hizi ni baadhi ya faida zake.
1. WIZI
Wizi umesaidia vijana kadhaa kupata ajira na kujipatia rizki ya kila siku...
Wanajamvi, hii ni hadithi nzuri sana inayohusiana na vidole 20 (ishirini) vya miguu ikisimuliwa kwa dakika 20.
Ipitie uone utamu wake alafu nawe utoe duku duku lako.
Huenda ikawa ngumu kueleweka...
FILL THE FORM IN OWN HAND WRITTING AND IN BLOCK LETTERS.
I, _________ , hereby apply to marry your daughter Sir.
I am _____ years old.
Please answer the following questions
honestly.
1...
Leo nimecheka sana wanajf,hz meseji nyngine balaa tupu,rfki yangu kanitumia meseji iliyo kwenye mfumo wa swali eti
Kati ya samaki na chupi kipi huvuliwa mara nyingi?
uwanja wenu sasa.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.