Ndugu wana cc poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.kichwa cha habari kimejitosheleza.lakini naomba kutoa muhtasar kuhusiana na ndoa kati yangu mimi mkiva na mchumba wangu preety.mimi na preety...
Nlikuwa kwenye choo cha jamii, mara nkasikia sauti kutoka choo kinachofuata;
Sauti: Oi Mambo vipi??
ME: kwa kumind nikamjibu Poa2!
Sauti: So Mishe zinaendaje?
ME: kama wewe nime2lia hapa!
Sauti...
Baada ya kuona Zitto anaogopa kuwataja kama mlivyoogopa kuwataja wauza madawa ya kulevya a.k.a UNGA au SEMBE, mi nimeamua kuwataja tu kama noma na iwe noma, kama mbwai mbwai tu, ukimwaga ugali...
Wakuu Mimi Ni Mwana Chuo Pale Mlimani, Nina Mengi Ya Kuandika Hapa Hapata Tosha In Short Nakaa Kibaha Kila Siku Naingia Saanane Usiku Nikitokea Chuo. Napata Shida Saana, Naombeni Kama Kuna...
HAPA KAZI IPO:
Jaji: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!.
MTUHUMIWA: Basi...
MUME: Mke wangu naskia Beka katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu..!
MKE:Mmmh! basi huyo atakuwa MAMA SAM maana yule ndo ANAJIFANYAGA MGUMU SANA.!!
Je, huyu mama angekuwa...
Wabongo kwa kupenda vitu USED balaa... TV used, REDIO used, GARI used ona sasa hadi BOYFRIENDS na GIRLFRIENDS tunachukua used,je huyo ulienae sio used??????????
NANI MJANJA? BABA 1 Mlevi Nyumba yake ina shimo kubwa uani lenye maji Machafu ila halina mfuniko. Siku moja BABA karudi saa 8 usiku toka Ulevini mambo yakawa hivi;
BABA: Funguaa!!
MKE: Leo...
I love u all,
Let me take this opportunity to wish u all best of luck in this festive season.
If u plan to travel take care and enjoy and take care of ur family
If u will stay where u r (not...
Nimo safarini...kiuchovu cha safari kimenisababisha ni uchape usingizi kidogo...ghafla na shtushwa na vicheko vikubwa vikubwa kutoka kwa abiria wote ndani ya chombo hicho cha usafiri.
Watu wako...
HAPA KAZI IPO:
Jaji: Nakuhukumu kwa
kukutwa na mitambo ya
kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni
mitambo tu siyo gongo
mheshimiwa!
JAJI: Hicho ni kidhibiti
tosha kabisa!.
MTUHUMIWA: Basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.