Hahaaa dunia kweli aina adabu
kijana mmoja ambae amekuwa akikusanya pesa za waungwana hasa mabinti zet pale salenda
akichechemea mguu huku akionyesha sehemu ya paja lake kana kwambakuna kidonda...
mtu atoe joke au funny story moja matata sana!
mi naanza:
BABA MMOJA ALISKIA TANGAZO KUWA MTU MWENYE WATOTO 10 ANAZAWADIWA ML100.
JAMAA ALIPOSKIA TANGAZO AKAMWAMBIA MKEWE KUWA SISI TUNA WATOTO 9...
HABARINI WAUNGWANA MABESTITOOO
Natumai muwazima sana tena sana nimeona kabla ya kufunga mwaka 2013
niwape tena darasa upya hasa WANAUME yaani mm nakereka sana nao
hawa watu kwani wao ni watu wa...
Heshima kwenu wakuu, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana namshukuru Mungu nimepata kazi japo ya kawaida lkn maisha yanasonga. Nina kama milioni tatu kwa sasa mfukoni na malengo yangu nahitaji hii...
Jamani naomba mnisaidie kuhusu huyu Padri wa kanisa la Roma na mwanaharakati machachari hapa nchini kwetu, kuna habari nimezipata kwenye chitchat zangu kuwa ameuasi upadirisho na anafamilia ya...
Mathematician bana wana mambo, does this apply?
Postulate 1: Knowledge is Power.
Postulate 2: Time is Money.As every engineer knows: Power = Work / Time
And since Knowledge = Power and Time...
Jamani nasikia tu kuna pm,ila mimi cjui na gundu au sina mvuto au sifai au sina vigezo au mshamba,yani uwezi Amini cjai pata hata PM moja hata ya bahati mbaya sio vzr jombaah!!silazimishi ila...
A man was complaining to a railroad engineer "what's the use of having a train schedule if the trains are always late".
The railroad engineer replied,
"How would we know they were late if we...
Kijana mmoja alifungwa jela miaka 7 Baada ya miaka 2 baba yake akamwandikia barua : "Mpendwa mwanangu, umeniacha katika maisha magumu ya maradhi na umasikini, bora ungekuwepo ungenisaidia kulima"...
Haya Sasa Tutegemee Kuanzia Kesho Na Siku Zinazofuata Jiji La Dar KUpungua Kama Siyo Kuisha Kabisa Kwa Foleni Kutokana Na Watu Wengi Hususan Wachagga Kuelekea Kaskazini Kama Ilivyo Jadi Yao...
salaam ndugu zangu,
nawakubali sana katika nyanja nyingi sana hususan katika swala zima la bragging and all that stuffs ila leo wakuu nawaombeni kitu kimoja; hebu tamkeni neno hili kwa sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.