new member nipokeeni kwa mikono miwili wana JF

new member nipokeeni kwa mikono miwili wana JF

Karibu!
Alafu hivi "unanijua mi ni nani hapa Jf ?"
 
Karibu ukaribie upewe kiti ukalie na kitako utulie
Nalog off
 
My wife usijali ! Sometimes wageni wakikaribishwa ki Mombasa-mombasa urojo-urojo na viazi ! Baadae wananyemelea mizigo zetu .

Ok, so huo mkwara ni kwamba hutaki kuriniwa mzinga wako?!!...nimekusoma
 
Back
Top Bottom