donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mimi hapa ndio Don
Baba yangu ni Lucchese
Mchumba wangu ni......
nshajieleza mamaaa....!!
Baba yangu ni Lucchese
Mchumba wangu ni......
nshajieleza mamaaa....!!
hahah longtime sana kaka!Hahahahaaa...! Nyimbo inakumbusha zamani sana.
hahah mkuu DEMBA si unajua mambo ya miguu ya kuku? kina mushi wapo wengi humu. halafu we hujajieleza mkuu!haa haa donlucchese kam zis wei hujajieleza vizui bana eti mchumba wako ni desh desh? mtaje jina pulizi
haa haa donlucchese kam zis wei hujajieleza vizui bana eti mchumba wako ni desh desh? mtaje jina pulizi
hahah mkuu una bullet proof vest?
hahah usikute kuna major shareholders mkuu!hahha bullet proof kwa mke wangu ni ya nini?
Dah umenikumbusha sunday school, kuna ule mwingine wa mtume paulo... nilikuwa sizipendi hizi nyimbo coz ikifika zamu yako lazima usimame na uimbe na mimi nilikuwa na aibu sana.
safiiii!
hahaha kweli mkuu kitambo sana!Dah umenikumbusha sunday school, kuna ule mwingine wa mtume paulo... nilikuwa sizipendi hizi nyimbo coz ikifika zamu yako lazima usimame na uimbe na mimi nilikuwa na aibu sana.
hahaha basi wakina donlucchese siye tabia yetu ilikua tunatembea na vioo kwaajil ya shughul kama hizo!hahahahaha
amenikumbusha primary ukimaliza kujieleza unapandisha sketi juu kisa umevaa chupi mpya halafu ukute nyekundu au njano na mguu juu
hahahah, saaafiiii!Mimi hapa ni Madame
Mume wangu Ben 8
Shoga yangu Eveline....
Nshajieleza mamaaa.