Haya sasa "Mwenyekiti" wenu leo nimefanya ufisadi mchana kweupe...!!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Si kama kawa leo natoka zangu kwangu Lumo kufika stendi pale njia panda ya Kwa limboa ikaja daladala, kama kawa konda kaita "mwisho wa lami miatatu ikirudi rozana buguruni" nikajitosa, kwa maana hiyo nilipe miatatu hadi mwisho wa lami inapogeuzia gari then nilipe nauli halali ya hadi buguruni, nikaingia kwa gari haoooo hadi Buguruni, ile nimeshuka kwenye gari nimepiga hatua kama tano hivi nikakumbuka konda kasahau kuchukua nauli toka kwangu, kucheki gari ileee bado ipo haijaondoka, nikashauriana na halimashauri ya kichwa changu ikanambia "potezea bwanaa...! mfukoni kwenyewe una buku jero" nikasepa zangu huyoo...., leo jioni nina uhakika wa kupanda daladala kwa nauli iliyobaki asubuhi.....,asubuhi njema bandugu naona bosi wangu Kanjibhai ananiangaliia...., asije otesha nyasi kibarua.... imekula kwa konda leo.....
 
Hii hata Mungu hapendi! Kampe konda hela yake kisha ukatubu!
 
Baba V..................

544345_565457226809911_1334347864_n.jpg

Peleka pesa za konda fasta kabla sijakufungulia hili jeshi.
Na mbegu hii nilipata kwa Mr. Mungi enzi zile alipokuwa ana mapenzi na Lily Flower.
Enzi hizo hausi gelo alikuwa sweetlady na mlinzi alikuwa Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
aah wapi..., nilivyofikiria na nauli zenyewe zilivyopanda nikaona isiwe tabu..., kumbe ugumu wa maisha unaweza ukachangia maovu...ee
 
wapi ri porisi ben
njoo riarest ri mwenyekiti
rimefanya wizi hadharani!!
uje na afande chacha maana ni rikorofi
hiri rijamaa!!!

Last edited by a moderator:
yani hao mbwa walivyo
na sura mbaya akiwaona tu
atamtafuta konda ampe chake kabla
hata hawajabweka lolz!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom