Uko busy na jambo la muhimu mno, unaingia ujumbe wa maneno kwenye simu yako..! Unafikiri pengine ni pesa imetumwa au unaitiwa dili njema au kuna jambo la dharura
...!unaacha unachokifanya ...
Nimewapenda sana kwa jinsi mlivyo na msimamo na Wing yenu.
Hakika nimejifunza vitu vingi toka kwenu.
Mzee wa Rula, PakaJimmy, Arushaone, Philipo, Tonykp, LiverpoolFC, mkiva... Preta...
Uko busy na jambo la muhimu mno, unaingia ujumbe wa maneno kwenye simu yako..! Unafikiri pengine ni pesa imetumwa au unaitiwa dili njema au kuna jambo la dharura
...!unaacha unachokifanya ...
Uko busy na jambo la muhimu mno, unaingia ujumbe wa maneno kwenye simu yako..! Unafikiri pengine ni pesa imetumwa au unaitiwa dili njema au kuna jambo la dharura
...!unaacha unachokifanya ...
Malapropism ni aina ya lugha gongana, pale mtu anaposhindwa kupambanua maana ya maneno mawili yanayofanana na kuyatumia visivyo. Anapofanya hivyo, mara nyingi hisia ya ucheshi huibuka. Soma...
***YOU and ME***
it's you and me my sweetheart, just you and me.........!
I love what we made together and i want you to know that no words can describe how deeply you touch my heart...
I...
Pipoooo....
Yaani sitaki kuamini kama saa nzima imeisha sina hata lepe la usingizi....
Nani yuko majicho akuje pande hizi tupige soga???
Babu Asprin leo hauko lindoni??
Heaven on...
jamaa mmoja alikuwa anatembea usiku,njia ielekeayo nyumbani kwake imekatiza makaburini,na siku hiyo hakukuwa na mbalamwezi.,
wakati anapita (anaogopa kwa sababu yuko peke yake)kwa mbele akamuona...
Wana wa Bodi .
Kwa muda sasa nimekua siridhishwi na niyaonayo hapa mjengoni .
Saratani ya "UBINAFSI" na "UMIMI-UMIMI" naiona kila uchao inaendelea kuushambulia mjengo ! .
Nikifunguka zaidi...
Hali zenyu bhana!!!!!!
Hivi ushawahi kukutana na hii, katika pita pita zangu nimeiona hii. Hebu pitia yako utupe majibu mujarabu hapa...........
Top Areas Of Posting
JF Chit-Chat: 6,939...
Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo...
eacher:- what's
wrong?
Akpos :- our house is
very small. Me, my
mum,my dad, we sleep
on the same bed.
Every night my dad
asks, 'Akpos r u
sleeping?'
Then I say No & then he
slaps my face...
:A S tongue:1,Mrembo ana tabia zote nzur ila anakuua mpatapo mali
2,,Kitandan amekaa vzr,bt golikeeper,hafanyi kazi
3,,anachukia ndugu zako,,ila mrembo,kitandan mzur,ajira anayo
4,,Gumba,,bt sifa...
Wadau wa JF,kwa muda mrefu nimeshindwa kupata jibu mahsusi la swali langu hili,KATI YA JIJI LA MBEYA NA MANISPAA YA IRINGA,UPI UKO JUU?NA UPI UNAKUA KWA KASI ZAIDI?mchango wenu wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.