Masiku machache nikiwa Uvira , (Congo Drc) nikapata kuwauliza wenyeji wangu , kitu ambacho huku kwetu si kawaida ukute nyumba ina umeme , na kisha haina mita .
Kwani baada ya kuzungusha kwng...
Iko misemo ukiisikia tu , akili haihitaji kufikiri kusudio lengwa .
Mathalan ukisikia :
> Utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua !
> Chelewa chelewa utakuta mwana si wako!
> Hasira za Mkizi ...
Hii kauli uake imesababisha jamaa atafutwe kwa udi na uvumba''
By Bujibuji:
""Siku hizi nyie mmewafunika wahehe kwa kujiua, mbaya zaidi mnajiua kwa vitu vilivyopo kwenye miili ya wenzenu, na...
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba...
....Habari zenu kwa ujumla.
.....Nimekuja na swali kwa watani zangu wasambaa ,nachouliza nini hufuatwa baada ya goroli 7 kutoka.........
.......na je hizo goroli zisipo toka sabaa unakuwa...
Ni mwaka 1 umepita tangia niporwe demu na brother yangu,Nilipokuwa kidato cha 3 nilibahatika kuwa na demu na nlipanganae nitamuoa wala cntamchezea nikaona bora nikamtambulishe kwa bro,bro...
Mshahara wako 260,000/=
hand bag yako 140,000/=
una drive gx 110
hills zako 140,000 n above
una tumia note 3
den unaenda kanisani kuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza...
Sina budi kukupongeza sana kwa achievement yako hapa JF.
Wadada na wakaka (hakuna wazee humu) tumpongezeni mwenzetu huyu kwa kufunika kabisa humu JF kwa kufikia Reputations Power zaidi ya laki...
Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa...
Shemeji .
Sisi familia still yet tunakutambua wewe ndiyo mume wa dada yetu .
Pamoja na hilo Shemeji , umekua ukimtesa mno dada yetu , na ukware wako .
Mara kadhaa mkeo katuletea mashtaka yako...
Rejea wakati Mungu alipotaka kuteremsha gharika , alimuamuru Nuhu atengeneze Safina , na kwayo aingie na watu wake waliomuamini , aidha na wanyama wake .
Safina ilipokua majini (baharini)...