JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni maneno mazito sana kumtamkia mtu hata kama amekukera kiasi gani, huna miadi na Mungu kwamba utatangulia wewe kufaulu na kama utakufa hicho kifo cha kuzikwa, Wengi walifia majini wengine...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwalimu: taja madini yanayopatikana Tanzania? Mwanafunzi: maisilamu, masabato, malokole na maromani. Mwl; safi sana mpongezeni, Subiria divishen 5!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Chit chat heshima kwenu, Naomba nitambue uwepo wa Mwenyekiti wa jukwa na wanachama wote, Cha mnoo leo ndugu zangu ni kuwaomba tuiunge mkono serikali yetu katika mpango wa MATOKEO MAKUBWA...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at' Imekaa kimbea...
5 Reactions
16 Replies
5K Views
Habar zenyu wanajf..ope mko poa ladies n gents..kwa wale watakao.kua interested..mnakaribishwa kueka ur numbers apa kwa ajili group letu zuri la watsup lilopungukiwa na warembo..ladies tunaomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaKAYA...Mianyenyi... Mbukwenyi..wasinukaa...wakuliachi... Wale wa dodoma jioni tukutane pale mahakama ya kuku changu changu na chako ni chako,...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Hivi walivyo Muumba kawanyima mgao wa misuli , nguvu , ujasiri , na ubaramaki nanga zinapaa !! Wangapiwangapi mijadume tunaiona ikizidiwa power za kiutendaji na wapenzi wao ! Janadume la haja...
2 Reactions
65 Replies
4K Views
Plz dp it if ur oky to chart with me
0 Reactions
3 Replies
910 Views
Nimemskia mtu mmoja anasema yoyote atakaeliendekeza hili tangazo alafu ni mwanaume atakua anapiga kampeni za kubaki na mkono wa sweta a.k.a govi!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baba wa kichaga (mtu mzima) ambae ana mtoto anafanya biashara zake akirijea kutoka kwenye kazi zake za kila siku. Wakati akirejea siku hiyo mwanae (mwanaume) huyo alikuja kuwasalimia wazazi ila...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello...! Nikaribisheni humu
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Chonde chonde wanaJF, ukisikia mwenza wako ana nyumba ndogo usikurupuke bali uliza kama ina vyumba vingapi?
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza hebu tupeane mastori ya kipindi fulani. Nyie wa shule huu uwanja wa leo sio wenu, nendeni mkasome. mama zenu na baba zenu tunapiga story. Hivi wakubwa wenzangu mnakumbuka kipindi...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
MAma mmoja yeye huamka saa kumi na moja asubuhi, akoke moto, akande unga na kisha atengeneze chapati za kuuza. Hii ni kazi yake ya kila siku. Anti huyu amekuwa akipika chapati kwa miaka mitano...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii ni Karama ambayo nimebarikiwa na mwenyezi mwenyewe, Hivyo kwa wale wanaotaka kujua nyota zao za bahati na mambo mengine ya utabiri wasisite kuwasiliana na mimi. Gharama zangu ni nafuu...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
src majira nyuzpepa Nudug zangu wa majira nahsi mnaelekea kwa shigongo nowdays ..si vyema kuandika story na kuishia kutaja waziri huyu jina tunalihifadhi..kwenye gazeti kama majira Waziri amwaga...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/545764-miss-chit-chat%3B-walioingia-kumi-bora-ndio-hawa%3B-piga-kura-sasa.html Wadau wa chit chat ingieni basi kwenye hii thread Mpigie kura Lady doctor...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
http://youtu.be/EmlMY4nhLpk Amazing wildlife video shows crocodile taking down a warthog Amazing wildlife video shows crocodile taking down a warthog | GrindTV.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Asalam aleykum jamanii!!! Bwana yesu Asifiwe!!! Mashaalaah mmependeza!!! Watu mpo ng'aring!ari eeeee mmependeza kwa kweli!! Embu dj @FixedPoint tuwekee ule wimbo wa marehemu Omary Kopa kitchen...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…