katika pitapita zangu nimekutana na hii zaburi.Nilipouliza nikaambiwa ni maarufu sana pale LEO TUPO HAPA PUB....hasa siku za mwisho wa juma....
Pombe ndiye mchungaji wangu sitapunguwa na pesa...
Wakuu
its not meant to be a humorous thread ila kiukweli tangu nianze kula wali aisee hakuna kitu nakikubali kama ukoko. Kabla ya yote kuna aina kuu mbili za ukoko, wa juu na wa chini. Hapa...
Me namshukuru Mungu kwa wale wote walionitia nguvu na kunipa moyo kwa magumu ninayopata,Mungu awabariki sana,leo nimeamka vizuri tu,ushauri wenu umenifanya niwe na amani,kwa aliye mpweke tunaweza...
Baada yakuona mwanamke nimpendae kabadilika gafla,nikimuuliza ananijibu Baby we haunijali.Ikabidi niende kwa shemej yangu(Dadaake) kupata ushauli, na huu ndo ushauli alionipa
Shemeji kweli...
Eti jenerali wa jeshi la marekani alitembelea China akapelekwa kambi moja ya jeshi. Akiongea kiingereza na jenerali wa kichina anawatafsiria askari wake kwa kichina. Baada ya kuhutubia mambo rasmi...
Nimewakumbuka sana wana jamvi hope mko poa na mnaendelea na majukumu zenu za kila siku nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote waliopoteza wapendwa wao na wale wote walifikwa na magonjwa tofauti...
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.
Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia...
mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.
jamani huyu jogoo leo hana usingizi kabisa sasa saa hivi saa nane usiku eti anawika kuashiria kukuche haraka .......sijui kapata demu mpya ndomana hapati usingizi kila saa anamuawaza mi hata sijui
Ni story ya zamani Kidogo, story ya kuchomeshwa mahindi na zaidi kuzomewa na watoto wa kijiweni
Wakati huo hata hz simu hazikuwepo hz za mkononi nikakutana na kimwana mmoja akanipa ahadi ya...
Ile kauli maarufu ya Mhishimiwa sana Pii Emu wa inji yetu kumbe ni mwendelezo wa kauli za Memba mwenzetu Washawasha ambaye mwaka 2011 alitoa kauli kama hiyo kwenye uzi wake huu...
Habari zenyu bhana!!!!!!!
Miaka ya nyuma hivi kulivuma makundi yafuatayo:-
1. Backstreet Boys
2. Boys II Men
3. Westlife
4. N-sync
5. Boyzone
Mie nakumbuka nilizitumia nyimbo zao kama...
Niko Hapa bonde la mkwajuni, nimepaki gari Nimeshindwa kuendelea na safari nilionja kitu ya Arusha hapo mtaa wa Wibu kinondoni kwa jamaa yangu
Sasa naona kama dunia inapinduka nk chini ya...
Wadada mnaogombea hiyo nafasi na mnaitaka kura yangu, basi mkiniandikia PM mnipe na dau lenu kabisa ili nijue nani anastahili kura yangu siyo mnaomba omba tu kupigiwa kura bure bure...
Kama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.