Good morning,you all have a nice sunday and a conducive day.

Good morning,you all have a nice sunday and a conducive day.

Yes,of course ndo nahisi ni mwaka ambao,sufuria la mboga litaepuliwa na sufuria la ugali kuinjikwa,sasa kazi ipo kwenye kuepua sufuria la mboga,kama hatuna mbanio ujue tukiliepua kwa mikono yetu wenyewe tutaungua coz ni lamoto sana,tukishindwa kuliepua kutoka kwenye mafiga,basi ujue mboga itaungua na tutashindwa kubandika sufuria la ugali,mwisho wake tutakula mboga iliyoungua bila ugali.
 
Ahsante! uwe na jumapili njema pia, wewe na familia yako
 
pa1 sana,ila kama mtu anaenda kwenye ibada asisahau kuuombea mwaka wa 2015 uwe wa amani.

ubarikiwe fanya kwenda kanisani ukaombe huo Mwaka 2015 uwe wa Amani kama we unavyotaka.
Usisubiri ufanyiwe Mkuu.maana kuna wengi wanaenda kanisani kutimiza siku.
 
Back
Top Bottom