Jaman kama nikifanya hivi ndo najali,mpare mie Mapenzi basi

Jaman kama nikifanya hivi ndo najali,mpare mie Mapenzi basi

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
692
Reaction score
262
Baada yakuona mwanamke nimpendae kabadilika gafla,nikimuuliza ananijibu Baby we haunijali.Ikabidi niende kwa shemej yangu(Dadaake) kupata ushauli, na huu ndo ushauli alionipa

Shemeji kweli haumjali Tunaposema mtu anajali,tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out,hela ya Lace wig,mavazi,vizawadi vya hapa na pale,perfume na mambo kibwena,sasa wewe shemej yangu ulidhani kujali ni kujiunga extrem na kuanza kummiminia mimeseji asubuh mpaka usiku?mara beby umekunywa chai,bebi umekula lunch,beby umevaa nin?beby umelala,beby mbona kimya?wenzio wanatuma hela M pesa then inafwatia msg "baby nenda kale",anatuma Tigo pesa inafwatia na msg"baby kuna viatu vizur nimeviona mliman city pitia baadae ukavicheki",akituma Ezy pesa inafwatia msg"Baby mnunulie shemej yangu zawadi", akituma hakatwi mtu(airtel money" inafuatia msg baby njoo kwangu tulale lazima atakatwa tu..Kwa style hii shemeji ukichapiwa kuwa mpole kama umepata Division 5.
Nikamjibu asante shemeji kweli sijui kujali na sitajua kujal kwa stile hii.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ubadili na mapenzi ni sawa na mbingu na Ardhi.
 
pamoja nakua mimi niman lakn siwezi kua bahli kiasi hicho wEwe unataka uchafuetu hata ya sabuni ustoe!hata ungepata mcollor asingekubali.unatuharibia dada zetu
 
Huyu mpare mwenzangu kaniaibisha sana.
Mkuu sio kama sitoi ni mtoaji mzuri sana ila sio huo wa kila siku wanaoutaka wao,tutonga na bajeti aisee


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Baraka Roman, hata kama wapare ni wabahiri, kwahilo nami nakuunga mkono, kujali gani huko kwa gharama kubwa, eti mzee ameaibishwa na mpare mwezie kwa ubahiri uliopitiliza....
 
Last edited by a moderator:
Wapare si wabahili, bali ni watu wa Bajeti. Shilingi kumi lazima itoke kwa mahesabu

Ndo nyie hata mkiacha kodi ya meza jioni mkirudi home mnataka mkute mahesabu na chenji mnaiomba. Duh.....!!
 
Ndo nyie hata mkiacha kodi ya meza jioni mkirudi home mnataka mkute mahesabu na chenji mnaiomba. Duh.....!!
Hapana kwa hali kama hiyo haihitaji mahesabu wala chench kwakuwa wakati inatoka ilishapigiwa hesabu tayali


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Baraka Roman, hata kama wapare ni wabahiri, kwahilo nami nakuunga mkono, kujali gani huko kwa gharama kubwa, eti mzee ameaibishwa na mpare mwezie kwa ubahiri uliopitiliza....

Kweli mkuu ukiyafwata maisha ya baadhi ya kinadada utajikuta unamsaidia mwenzako kutimiza ndoto zake na hakika hautamuoa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kabisa...mwanamke anastahili kila jambo zuri...!
 
Back
Top Bottom