TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,199
- 13,029
Ile kauli maarufu ya Mhishimiwa sana Pii Emu wa inji yetu kumbe ni mwendelezo wa kauli za Memba mwenzetu Washawasha ambaye mwaka 2011 alitoa kauli kama hiyo kwenye uzi wake huu: https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/192489-umeshawahi-kupigana.html#post2813303...
Kwenye uzi huo wa Memba mwenzetu, JF Udaku limebaini kuwa membaz wengi sana walionesha kufurahia kupiga na wakawa wanahamasishana kupiga tu pale mtu anapokuzingua. Pia @JF Udaku limebaini kuwa kwa kiasi kikubwa Uzi huu umechangia Mhishimiwa Pii emu kutoa kauli ile Tata akidhani yupo Jeiefu anajibu Post za Memba wenzake kumbe alikuwa Bungeni.
Miongoni mwa membaz ambao walionekana kufurahia kupiga tu wakiongozwa na Washawasha ni pamoja na: Zinduna, neggirl, King'asti, feis buku, Husninyo, Zamaulid, mafiakisiwani, Emilia, Mphamvu, Cantalisia (huyu alikiri kuwa na uwezo wa kuwatoa knock out mpaka vidume), Lizzy, klorokwini, Eiyer,
Membaz ambao hawakuonesha kukubaliana na kauli hii aidha kwa kuogopa manundu au umri kuwatupa mkono ni pamoja na: Mamndenyi, Mtambuzi (Japo alionesha kuwa sitaki nataka) sweetlady, 24hrs, Blaki Womani
Membaz ambao walikaa kimya bila kuonesha msimamo wao ni pamoja na: AshaDii, Kongosho
Kauli za Washawasha:
hizi kauli mbili za huyu Bwana zimesababisha mtafaruku Mkubwa sana kwenya Jamii Baada ya Mhishimiwa kuzipeleka ngazi ya Taifa na kutaka zifanyiwe utekelezaji.
Kauli ya Pinda:
Kutokana na hali hii, JF Udaku inatoa wito kwa membaz wote kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zitaweza kusababisha mtafaruku kwenye Jamii kutokana na ukweli kuwa watekeleza sera wa Serikali nao ni membaz wenzetu hivyo wakipata mawazo kama haya tunajikuta katika wakati pale wanaposhindwa kuchanganya na za kwao...
Pia tunatoa wito kwa wapenda amani wote kutaja majina ya membaz wagomvi ili tuwabaini mapema:
JF Udaku limewabaini vinara wa hii kauli: Paw, Erickb52, Arushaone, King'asti, KakaKiiza, Preta, @Lara1, Madame B, kiwatengu, Matola... orodha itaendelea
Imeandaliwa na: Baba V na Elizabeth Dominic kwa hisani ya Watu wa Bukoba kupitia Bishanga
Kutoka kwa Mhariri:
Wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki kwenye ule uzi wa Washawasha wapigwe tu Ban, tunahitaji amani hivyo wapigwe tu Ban ili iwe fundisho kwa wapenda fujo wengine, tumechoka sasa..
Mapendo.

bora uwafunze mapema kwa maana ni hali ya hatari mno sasa hivi raia hawachelewi kukusingizia ya kwamba operesheni kimbunga inakuhusu.Basi atakayetamka maneno haya unamkata kibao na kuuanzisha ugomvi.
Nalog off
mtu akikuzingua mdunde tu,hongera kwa ujasiri wako.Nalog off
hizi kauli mbili za huyu Bwana zimesababisha mtafaruku Mkubwa sana kwenya Jamii Baada ya Mhishimiwa kuzipeleka ngazi ya Taifa na kutaka zifanyiwe utekelezaji.
Kauli ya Pinda:
Sasa kama wewe umekaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi... wewe ndiyo jeuri zaidi watakupiga tu.... Mimi nasema muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine... maana tumechoka.
Kutokana na hali hii, JF Udaku inatoa wito kwa membaz wote kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zitaweza kusababisha mtafaruku kwenye Jamii kutokana na ukweli kuwa watekeleza sera wa Serikali nao ni membaz wenzetu hivyo wakipata mawazo kama haya tunajikuta katika wakati pale wanaposhindwa kuchanganya na za kwao...
Pia tunatoa wito kwa wapenda amani wote kutaja majina ya membaz wagomvi ili tuwabaini mapema:
JF Udaku limewabaini vinara wa hii kauli: Paw, Erickb52, Arushaone, King'asti, KakaKiiza, Preta, @Lara1, Madame B, kiwatengu, Matola... orodha itaendelea
Imeandaliwa na: Baba V na Elizabeth Dominic kwa hisani ya Watu wa Bukoba kupitia Bishanga
Kutoka kwa Mhariri:
Wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki kwenye ule uzi wa Washawasha wapigwe tu Ban, tunahitaji amani hivyo wapigwe tu Ban ili iwe fundisho kwa wapenda fujo wengine, tumechoka sasa..
Mapendo.
TANMO
Last edited by a moderator: