wanaotaka kumpindua Baba V wapigwe tu
Mmmmmh,
Mie nyumba ya udongo sihimili vishindo.
Na wewe utapigwa tu hivyohivyo..
Ukiendelea kung'ang'ania umiss utapigwa tu
Si umesusa gongo
Nitaanza na wewe....
UTAPIGWA TUUU.
The secretary
Na wanaotaka waume wa wenzao wapigwe tu.
Hapigwi mtu hapa
Hapana sio mimi kiongozi.Washawasha kwani ndo prime minister nini?
halafu mkuu nenda basi kwenye link hii,utaratibu si wa kutaja majina kuna poll una click,hebu click kwa Lady doctorMkuu TANMO,wagema ulimbo inabidi wapigwe tu,kwa kuwa ukicheza na mbwa utaingia naye msikitini.akileta masikhara unamkata makofi.
Nalog off
mwenzangu.....Mmmmmh,
Mie nyumba ya udongo sihimili vishindo.