JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baunsa mmoja aliyekuwa kakaa kaunta ya baa fulani akinyanyasa watu na misuli yake, aliondoka kwa furaha kwenda chooni, lakini akarudi amekasirika jasho linamtoka; BAUNSA: Baa hii washenzi wote...
5 Reactions
23 Replies
7K Views
hivi kwa nini maisha ya chuo huonekana kuwa na uhitaji wa hela kila kona hasa upande wa chuo kikuu
1 Reactions
3 Replies
2K Views
How are they by then? I sink alright is everything by up there!! Hamiss yuo so meny! If yuo mixed there school dont understand up to you! Thank you! CC Arushaone Lady doctor Madame B...
9 Reactions
132 Replies
6K Views
Sijui ni kwanini lakini leo nimeona bora nieleze ukweli wangu kutoka moyoni. NASEMA HIVI NAWACHUKIA WANAIJERIA(NIGERIA) Nalog off
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Vipi mpendawa!naona umetulia,unawaza nini?usihofu kama ni gari tengeneza hata la udongo na kama ni ndege nunua hata njiwa na wewe ujidai. Mimi mwenzio sina mawazo tena,ninamiliki nyumba...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa heshma kubwa , ambatanisho na taadhima , nachukua fursa hii adhimu na iliyotukuka , kuwafahamisha rasmi new couple baina ya wapendwa wetu Muheshimiwa mshana jr Vs Angel Nylon . Members...
12 Reactions
159 Replies
9K Views
So this kid is walking down the street and behind him he is pulling a squashed frog. He finally gets to where he is going and it turns out to be the local cat house. He goes inside and tells the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 300 .. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi ? au kwenye Dili ? Naomba jibu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani ndo naamka, niko dining room na kilichoandaliwa sijui ni niite breakfast au lunch maana meza imesheheni mapochopocho ,hakika my heart beat A.N knows for sure how to do it and when...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kukumbatiwa au kukumbatiana ni Sehemu ya mapenzi hasa mlalapo, lakini ukiwa na mwenza ambaye hataki kabisa kukumbatiwa au ambaye Anataka kukumbatiwa Usiku wote basi hapo kuna shida, au pia wapenzi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini za weekend marafiki Natumai mko wazima buheri wa afya njema na wale ambao hawako vyema nawatakia afya njema Mungu awaponye Nimeona nichague Sample za kuonesha kwenu jinsi gani WANAUME...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Am travelling from Kisumu City to Nakuru. Who'll wish me some journey mercies
0 Reactions
30 Replies
2K Views
This place iko pale posta ni sehemu ambayo huwezi imagine kama kuna any activity going on pale..ni sehem ya games mbali mbali pamoja na mazoezi ya viungo.sasa nilitaka nijoin ile club maana...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
"Ua' la' pinki 'kwa" urafiki" wa" kawaida", Ua "jekundu "kwa" mahusiano" ya" kimapenzi," Ua "jeupe" kwa" amani" na" "upendo," Ua" la" njano" kwa" "kusaidiana "kimaisha," Ua" la" blue" ni"...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
....Nafurahi kwa kunijali. Nahitaji uwe rafiki wa mimi wa kubadilishana mawazo. Kama utaitika wito wangu piga 0789803484
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Virginity is not Dignity, but lack of Opportunity!!!
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wengi hasa masistaduu huvaa kama fashion au usasa lakini je unajua maana yake zaidi...? Kwanza kwa tabia yake ya kufunika mbele na kuacha kikamba tu ndio kifunike ma..ko huashiria kuwa mini...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Leo naiweka rehani KADI yangu ya Chama cha Mapinduzi Kama Yanga(Kandambili'YeboYebo")watabahatika kutuFunga sisi Wanamsimbazi,Leo ninacho amini Tunawapiga wajukuu wa Akilimali,anaekalia SoFa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapo zamani za kale fisi walikuwa wanakaanga karanga zao,walipomaliza kukaanga sungura akaiba karanga zote,walipogundua sungura ameiba wakamfungia ndani ya nyumba,wakamkamata,wakamfungia ndani ya...
2 Reactions
13 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…