kijana msomi hawezi kuchat ovyoovyo!
sasa mtakula chatting au?Yeeeuuuuwiiiiii..... Ina maana wanaochat hovyo ni vilaza?????
sasa mtakula chatting au?
ahahaaa sina hamu na weweKwani amesema anataka jinsia ke ili aoe? Hajataja jinsia kwahiyo hata waliberali wanaruhusiwa
karibu kwangu,ukutane na kijana makini wa kuchatAisee.........
....Nafurahi kwa kunijali. Nahitaji uwe rafiki wa mimi wa kubadilishana mawazo.
kijana msomi hawezi kuchat ovyoovyo!