JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jf
Hallo am new member
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Wenyeji mpo wa huu mji,nipo hapa nasubili kukaribisha,naingia mtaani mda si mrefu *Vox popoli vox dei"
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Za wiki end wana jamvi, najua mu wazima wa afya. Leo Mwl. Christopher Mwakasege anaanza semina ya neno la Mungu hapa kwenye viwanja vya Jangwani. Itakuwa ni ya siku 8 mfululizo kuanzia leo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo Tupo Hapa Pub tumetembelewa na mgeni kutoka Arusha LiverpoolFC ni shangwe kwa kwenda mbele tukimuonyesha mji kijana wa Arusha. Madame B amepewa kazi maalum ya kuhakikisha...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
Mambo vipi wapendwa baada ya kimya kingi nimerudi tena safari hii nimeibukua huku mji wa kitalaii Arusha, kwaherini wapendwa wangu wa Dar Es Salaam hasa baba yangu Mtambuzi tutaonana nikija...
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Ikiwa unaogopa kulala peke yako usiku nakushauri jaribu kulala na njaa! itakupa kampan kiasi flan!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush... Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii...
10 Reactions
224 Replies
12K Views
Duh nimeisoma barua hii kwenye gazeti moja jamaa anaomba ushauri, kaandika hivi; Aunty Fatu, tafadhali nipe ushauri katika hili tatizo langu. Mi nadhani mke wangu si muaminifu, anafanya kazi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
wana jamvi wenzangu mi naomba tutengeneze hiki kitu ili Ituongoze na ipunguze migogoro majumbani...Naanza 1.Ndoa isiwe pingu za maisha bali iwe kwa awamu km vile uraisi na ubunge,namaani-sha kila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mapenzi ya sasa ujanja mwingi, usikubali kugeuzwa bw*ge!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
"Mwalimu alisema kama jana ingekua kesho leo ingekua ijumaa",je mwalimu aliyasema maneno haya siku gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi kwa mamlaka niliyopewa na niliyojiongezea mimi mwenyewe nachukua fursa hii kutangaza RASMI ndoa kati ya nitonye na bibie Arabela itakayofanyika siku ya keshokutwa jumamosi tarehe...
8 Reactions
409 Replies
20K Views
A Luo guy sent. KSh. 500 via mpesa on valentines day to His girlfriend ..The girlfriend gets so mad and calls him Girl: swity serious! Mapenzi yetu ni 500? Kwanza valentines ? You so mean! I...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana Chitchat mpoo? Kumezuka tabia moja ambayo mie sijaielewa elewa. Unakuta wanafunzi hasa wa shule za msingi kuzunguka mjini/mtaani na fomu ya kuchangisha michango kama ya mahafali ya shule...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Yeyote ni PM kwa chating marafiki! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika mapenzi usiseme hautopenda tena kwasababu mapenzi hayatabiriki.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza ccm tusha wachoka, cdm ni maji ya moto walinenaga zamani, mmmmmmh pili kimetoka mbali kwa matatizo changamoto na visa visa fulani, eeeeiiiiiiiiiih ooooh tatu ufisadi wenu ccm...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mchungaji mmoja wa makanisa ya kisasa alikua akihubiri kuhusu dhambi ya ULEVI jumapili moja,waumin wengi wa kanisa hilo walikua ni watu wa kilaji saana,bahati nzuri sehem kanisa lilipo jiran kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yani mpaka umehakikisha kaazi kweli kweli. :smile-big:
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom