JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
VineScope - She says I love you! and Best Vines | The best, funniest, and most clever Vine vdeos all in one place!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na...
5 Reactions
78 Replies
11K Views
Hili ni swali nalokutana nalo kila siku napoongea na Wakenya katika mihangaiko yangu hapa Nairobi.Hivi huko Bongo mkikutana na Wakenya huwa mnawauliza nini? Nipo hapa Natural Heritage iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Una mke/mume/mchumba, kila wakati unamkuta yuko bize kwenye jukwa la Love Connect...na kwa bahat mbaya hataki kukupa ID yake ya JF!!
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya kubanwa na nenge kali jamaa akaingia mgahawani akamwita mhudumu, Mhudumu: Nikusaidie nini kaka? Jamaa: Nletee chipsi kaki na mishkavu miwili, usisahau na panta fashen tafadhali. Mhudum...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wenzetu wameanza kufanya haya maziko, i wish na mimi ningezikwa huko, maana hautaoza
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Wapendwa, mnisaidie! Mimi ni mshabiki wa wanawake wenye sura bomba shepu kali na makalio makubwa. Nimewagegeda wengi wa hivi. Sas nataka niulize maana najua wenzangu ni wengi humu. Hivi makalio ya...
1 Reactions
82 Replies
8K Views
wanaJF hizi ni hisia zangu juu ya huyu mtoto Elizabeth Michael" LULU" My lv iz brilliant, my lv iz Pure!! Siku zote nionapo picha yake, nisikiapo jina lake moyo wangu hupatwa na mshitiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni hilo tu, ila siku hizi nimeoa, Lady doctor hupika na kupakua nyumbani kwangu. Ila ki-ukweli nimekumiss my X.
8 Reactions
242 Replies
14K Views
During a robbery in Guangzhou, China, the bank robber shouted to everyone in the bank: "Don't move. The money belongs to the State. Your life belongs to you." Everyone in the bank lay down...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutaka matokeo Makubwa bila watumishi wa chini kulipwa mshahara wa kuridhisha ambao ndo Ginuani, Ni kujidanganya huko Juu Mmejiongeza sie tuishie kupewa Oda tu "Vox popoli Vox dei"
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Wale wanajamvi mlioko Bukoba nko hapa kwenye ardhi yenu
0 Reactions
6 Replies
809 Views
1. Kitambi Mvurugo -- Hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto. 2. Kitambi Mchuchumio -- Hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Ulete: 1. Kitanda futi 6 2. DVD player 3.Kabati la nguo 4. Friji 5.Dressing table 6.Rice cooker 7. TV flat screen nchi 32 8.Pasi ya...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;; 1.Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula. 2.Chausiku…..nipe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa usiku wa manane, mtu na mkewe walikuwa wamelala usingizi, ghafla wakasikia mtu anagonga mlango. Mume akaamka na kufungua mlango; MUME : Vipi tena usiku huu? MLEVI : Samahani mzee...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alienda kutoa fedha ATM usiku ila kwa bahati mbaya kadi yake ikamezwa na hela hakupata; akaamua kumuambia mlinzi ili amsaidie Jamaa: sorry bro, nilikosea PIN kadi yangu imezuiliwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uchelewapo kurudi nyumbani moyo hunidunda dunda Penzi lako limenifanya nijihisi kama niko mbingu ya tatu Naamini daima nitalilinda penzi lako Nakupenda sana ewe waridi wa moyo wangu I love you...
1 Reactions
74 Replies
4K Views
Back
Top Bottom