JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Walevi wa2 waliokota kioo.mlevi mmoja alikiangalia kioo kwa mda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni kwangu ila jina ndio nimelisahau".mlevi mwenzake akampokonya kioo kisha akakiangalia na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbele ya mtumishi wa Mungu, Bwana harusi bila woga ni pale alipouulizwa unakitu gani kama ishara ya upendo wenu? Basi akafungua ‘zip’ akaitoa na kuanza kuiingiza kwa mkewe! Bibi harusi bila woga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimeingia mda si mrefu,nakutana na bonge la nyoka linapigana na paka wangu,yaani nimeshindwa ata kusogea karibu, vita ni kali joka limefula na paka amefula, naenda kuita vijana wa street wasaidie.
0 Reactions
59 Replies
9K Views
ndugu zangu hamjambo wote. Tukutane kwenye uchaguzi Ar.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Tupo kwenye mfungo wadau wa Chit-Chat karibuni sana tujumuyike pamoja mambo ya Chess games haya... CC.. Nyani Ngabu, Paw, Kipaji Halisi Heaven on earth, Mzee, Kaizer...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
mimi kapalampya nimeahamishia makazi yangu rasmi katika mji wa lindi kuanzia leo hii kama kuna wana cc wanaoishi lindi naomba tutafutane kwa ajili ya utambulisho na mapokezi.. nawasilisha cc...
1 Reactions
211 Replies
11K Views
jamaa alipata tetesi kuwa mkewe anaingiza buzi ndani kila anapotoka. siku moja kwa mtego akarudi mapema sana huku akiwa na shauku ya kumfumania mkewe. lakini hakumuona huyo jamaa, lakini alimuona...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kina dada wa JF mnajiamini wekeni picha zenu za ukweli na si kuparamia ma avatar ya warembo wa nje. Nampongeza Mwali, ni yeye mwenyewe orijino na ni mrembo haswa, natural, hakuna mkorogo...
7 Reactions
197 Replies
11K Views
Stupid Answers for Stupid Questions: 1. Someone calls you at 2 am in the night and ask you "are you sleeping?" Ans: no, I’m picking beans. 2. You're making out with a girl then you start pulling...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
jamani nikweli kwamba mwalimu akiwafundisha wanafunzi wake eti eti!eti! hakuna jamii bila kujamiiana, mwenye ukweli aniambie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nawatania bwana :majani7:
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mwanamke Zuzu alikuwa na mchumba wake Zuzu, baadaye uhusiano ulivunjika. Zuzu mwanaume alikuwa akimsumbua sana kumpigia na km2mia sms yule mwanamke Zuzu kila siku mpaka mwanamke Zuzu akawa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
James ni mfungwa katika gereza la machizi,siku moja akawaambia marafiki zake,''naanza kufanya mazoezi ya kuruka geti ili baada ya miezi mitano nitoroke kwa kuruka geti'' james akaanza mazoezi ya...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Samaki mkunje ............ mpaka anye!! Siku za mwizi .............. inategemea kama ni mwanaume hana siku. polepole ndiyo ............ slow motion asiyesikia la mkuu .......... ana phone...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa za kiintelijensia ya Chit chat, imegundua kuwa watu wengi katika kila jambo wanapotaka upenyo au excuse sasa imekuwa rahisi zaidi kwa kutumia kisingizio cha Obama, baadhi yao...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Wana CC, Naomba ikumbukwe kuwa tuna watu makini sana humu ndani, wenye uelewa tofauti tofauti, tuna wasomi na wasio wasomi, wenye busara na wasio na busara. Haya sasa kama Tungeombwa leo hii...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Nichukue fursa ya Sredi hii kuwatakia kheri kwa members wote walioko swaumuni. Aidha nitoe ofa kwa wale watakaokua na mkwazo wa futari & daku , wanipm tuone ni vipi tutatatua tatizo lao. Kila...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa niaba ya mke wangu Lady doctor na wengine wote, tunakutakia upone na urudi kwenye hali yako ya kawaida kiafya na furaha kama jinalo linavyojitaja. Kwa wasiojua ni kuwa huyu mdada ni...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
vipi hutoa muafaka wa suala walilojadili?
0 Reactions
4 Replies
972 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…