jamani ugomvi wa joka na paka unaendela ndani ya nyumba yangu

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
nimeingia mda si mrefu,nakutana na bonge la nyoka linapigana na paka wangu,yaani nimeshindwa ata kusogea karibu, vita ni kali joka limefula na paka amefula, naenda kuita vijana wa street wasaidie.
 
Hapo mshhndi ataibuka paka...
 
We ni 'me' au 'ke'...kama 'me' but ni suruali jiangalie vizuri.(kama ni 'me' ni aibu)unaenda kuita wanaume wenzio waje kukusaidia kuua nyoka ndani kwako?hujapita jandoni wewe!
 
yote nakubali kwa ukubwa wa joka hilo,ni bora niitwe ---- tu,sijawai ona joka kubwa kiasi hicho,alafu limepandwa na hasira kweli, limeinua kichwa juu ,ni kobra.

nimefika na wanazengwe nao wameogopa wanashauri tutafute mafuta ya taa tumwage,
 
Wewe WA kwako ni paka au ni nyoka? Angalia fighter mwana tena laivu bila chenga
 
We ni 'me' au 'ke'...kama 'me' but ni suruali jiangalie vizuri.(kama ni 'me' ni aibu)unaenda kuita wanaume wenzio waje kukusaidia kuua nyoka ndani kwako?hujapita jandoni wewe!

yote nakubali kwa ukubwa wa joka hilo,ni bora niitwe ---- tu,sijawai ona joka kubwa kiasi hicho,alafu limepandwa na hasira kweli, limeinua kichwa juu ,ni kobra.

nimefika na wanazengwe nao wameogopa wanashauri tutafute mafuta ya taa tumwage,
 
Huo mpambano ni slow motion nini ? Mbona events zinachukua muda kiasi hicho, au ni ndani ya nyumba ? (yaani wewe kuona tukio, kuita watu, kupost hapa na kushauriana mlete mafuta ya taa) hizo events zote zimechukua muda gani
 
Nyoka alipata laana ya Mungu baada ya kuwashawishi Adam na Eva kula tunda ktk bustani ya eden.siku zote atakua adui wa banadamu
 
mafuta ya taa yamefika tunapiga maesabua jinsi ya kumwagia nyoka ili yampate,mwanazengwe mmoja kajitolea
 
Nani mshindi paka au nyoka na ugomvi vp umeisha au bado unaendelea. Tupe kinachojiri
 
mafuta yamempata,anakatikakatika nyoka,wanazengwe wanamuongezea vipigo vitakatifu mifimbo,kwisha habari ya nyoka(rest in peace big snake)paka wangu yupo shwari
ana kama urefu wa 6m.
 
Back
Top Bottom