JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kipofu alimpiga mtu hadi akamuua, akapelekwa Mahakamani HAKIMU: kwa nini umefanya ukatili namna hii? KIPOFU: Mheshimiwa marehemu aliniambia "NIPIGE UONE" kwa vile nina hamu ya kuona...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Pumba.., mshen.. mkubwa we'---- nini, paka wee! Naongea na mwenye nyani siongei na nya.., sura kama gari ya mkaa! Musiogope; nafanya mazoezi ya matus* ili nikiingia BUNGENI 2015 nisipate tabu si...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo kwenye foleni hapa matumbi tangu 4kamili cjuwi kongowe nitafika saa ngapi!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi wote kasoro magereza wanakamata vyombo vyamoto ffu kakamata pikipiki abiria hakuvaa helment hapa tazara.Mmeo/mkeo acpoleta chochote mwage.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kisim changu cha mchina kimefanikiwa kufungua avatar za warembo wa Jf, ila avatar ya Heaven on Earth yataka kuntoa roho wallah!!! Natamani kumtia machoni
0 Reactions
194 Replies
11K Views
Wakuu nawaombeni tujadili je ni kwanini chumvi ya Mawe na moto wa mkaa havielewani? Na Je kwanini Mafuta ya Moto na maji hayaelewani ninawaombeni majibu mazuri munipe mimi mpaka leo ninashangazwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
TLC - No Scrubs ( Official ) - YouTube Destiny's Child - Bills, Bills, Bills - YouTube Brandy & Monica - The Boy Is Mine (HD) - YouTube mabinti wa kipindi walikua si mchezo...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Aisee happy 4th july kwenu wote.......it a wonderful day kabisa......nasheherekea hapa naumwa na mbu najiandaa kupamba na foleni kesho....nyie mnafanya nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hivi line za tigo nazo zitalipiwa kodi.????....
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani leo nimeamka asubuhi ile natoka nje tu nakutana na mama anatoka jikoni kashika kibakuli mkononi! Huku akiwa nawasiwasi mwingi akaniuliza hivi ''kwenye hili bakuli kulikua na samaki ulikula...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yani toka external mpaka buguruni sheli nimetumia masaa mawili na nusu leo saa 4 mpaka saa sita na nusu mchana? Kwaherini narudi mkoani kwangu. Hii foleni ya magari ni balaa
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Breaking news: Ronaldo anamalizia vipimo vya afya Manchester na atasain mkataba wa miAka minne akizungumza kwa furaha kubwa Juma Hamis maarufu kama Ronaldo alyekuwa anachezea Katavi fc ya Rukwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kijijini Kijijini nakupenda, kunamahindi nandizi, Kunayo mengi matunda, kunde, dengu na mbaazi, Kuna mtamu mlenda, namkumbuka Shangazi, Mwenzenu ninakupneda, sana kijijini kwetu. Jamani babu...
3 Reactions
3 Replies
5K Views
Leo sina cha kuandika Kwahiyo changia wewe, na waliosongeka utawajua tu reply zao
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unapenda kuvaa Nguo gani ulalapo?
0 Reactions
23 Replies
6K Views
MAmbo vp great thinkers, EMbu imagine kesho yako ingekuwa leo!!? Ama ingekuwa vipi kama leo yako ingekuwa kesho...?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtoto: Baba kupata au kukosa bora nini? Baba: Bora kupata mwanangu! Mtoto: Basi nimepata mimba baba!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
President Kikwete was exchanging a Word with the Queen of England....... "Your Majesty, how do you run such an efficient government? Are there any tips you can give me?" "Well," said the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kinda cute, sio?
12 Reactions
83 Replies
6K Views
Back
Top Bottom