JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mme alikuwa amekaa na mkewe kitandani baada ya kazi ngumu kumalizika,Mkewe akamwambia ahsante mme wangu kwa penzi tamu,mume akajibu "SI WEWE MKE WANGU UNAYENISIFIA ,WATU WENGI TU WANANISIFIA"Je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna Shehe flan katika pitapita zake kitaa, alikutana na bonge la duu njiani, gafla shehe akajikuta keshampa 'hi', akajibiwa 'hi', zen kwa mshangao shehe akaropoka "Dada yangu maashallah Mungu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
je ni sahihi kumpiga search mumeo au bwana ako, kwa suruali au wallet?
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Yaani taifa hili limefikia hapa, tumeanzisha kabisa shirika la taifa kwa ajili ya uchafu huu, laana ya usagaji italitafuna taifa hii. Tuungane kupinga uwepo wa National Milling Coorporation.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
1. Blackberry = Attention seeker 2. Sony = Misunderstood 3. Apple iPhone = Classy 4. Nokia = Very loyal 5. LG = Loner, kinda boring 6. Samsung = All about style 7. Motorola = Old school 8. HTC =...
9 Reactions
81 Replies
8K Views
haya haya asiye na mwana aeleke jiwe Bishanga hana mke leo ana mtoto Mamndenyi njoo na kengele ya watoto unibembeleze leo nimekuachia mume kwa muda nilee vizuri kwa siku ya leo ndo kuzaliwa kwangu
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wanajf,natumaini mu wazma wa afya mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 npo dar,ni mrefu wa maji ya kunde,elimu ya chuo,mkristo,natafuta msichana wakuanza nae relatioship/mahusiano awe mrefu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Natumai muwazima jamii yetu ya Jamboforums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Duh... jamani muda huu ndio nakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa.... Namshukuru mungu kwa kunijaalia afya njema na umri huu nilifikia leo.
4 Reactions
47 Replies
5K Views
mausinhizi ambayo yanasababishwa na alcohol nimabaya, yaan alcohol ikikata tu, na usingizi kwao. Tangu saa kumi nimebakii narandaranda tu kwenye forums humu JF na hauna dalili za kurudi hata...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mke alimpa mumewe radio aende nayo choon ili imliwaze kwa vile huwa anakaa muda mrefu choon.Alipotoka akaulizwa MKE:Ehe! vp my love,uli-enjoy? MUME: Aah! wajinga hawa, wameweka wimbo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa kaingia kwa kinyozi na mtoto,akaomba anyolewe nywele na ndevu. Alipomaliziwa akasema mtoto pia anyolewe,akaaga kuwa anaenda dukani kumnunulia mtoto viatu. Masaa matatu yakapita...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ACHENI UTANI HATA KAMA MISHAHARA MIDOGO!!.Ona huu mtihan wa terminal nimeunasa shule moja 1.Rais wa Sasa wa Tanzania ni Kikwe__ A)ta (b)te (c)ti (d)to (e)tu 2.Aliyefanya Tanganyka iwe huru...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna jamaa (Msukuma) alibahatika kusafiri kutoka Kijijini kwake kwenda sehemu ya mbali kidogo. Wakati wa kurudi ilimbidi apige lapa (atembee kwa mguu) sababu usafiri aliotumia wakati wa kwenda...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Two little boys, ages 8 and 10, are excessively mischievous. They are always getting into trouble and their parents know if any mischief occurs in their town, the two boys are probably...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
mkasa uliotokea nchini Congo ..Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
950 Views
Alikuwa ni mtu mwenye mizaha ya kuudhi sana hapa JF.Alitumia username ya Mwanamalundi.Akipitia thread yako lazima tumbo likusokote kwa jinsi atakavyokomenti. Comment zake maarufu ni: Haituhusu...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Back
Top Bottom