JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Najiuliza wake za watu wananini kipya? Maana mfano nimeuona kwangu Evelyn Salt kila siku ma vx ya wabunge yanapishana kwangu huku wakijua ni mke wa mtu,pia nilikuwa naona ma hammer kwa Mamnidenyi...
1 Reactions
153 Replies
8K Views
Habari zenyu binafsi wanaCC Jamani hii ndoto imekuwa kero kwangu, last week niliotanimekamatwa na vibaka wakanipiga risasi mikononi mpaka damu zikawa zinavuja kwawingi ila sikufa, jana tena...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
jamani eeee mwenzenu yamenikuta leo.mnajua kabisa mie nina mke si ndio eeeee??/ siku naoa nilimwambia mke wangu kuwa mimi ni masikini anivumile na kwakuwa natafuta ipo siku maisha yatanoga tu...
7 Reactions
75 Replies
5K Views
Mtoto mmoja kutoka usingizini na kukuta baba yake yupo juu ya mama yake, huku miguu ya mama imekunjwa kuelekea kichwani. Dogo akajua hii ni mieleka LIVE bila ya refa, akainama na kuchungulia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mzee mmoja mwenye UMRI kama 50 hivi, anamchapa mwanaye bakora kisa kafeli mtihani.."Mtoto hasara kabisa, mbona Juma kafaulu? Nyie si mna UMRI karibu sawa kabisa???" Mtoto: Baba hivi wewe na...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Angaza inakutanazia kuwa wanahuduma mpya fanya ngono kwa wingi bila kondom ujipatie Ofa ya Jeneza toleo jipya la 2013 hakuna mashariti anza leo ushinde
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hatari tupu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni nimesikia wayu wengi wakisema ya kwamba:- '' MKE WA MTU SUMU, MUME WA MTU MAZIWA'' Unafahamu nini hapo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
15. Avenue Road Location: Toronto, Ontario Avenue Road is a major north-to-south running street in Toronto, Ontario. The road is a continuation of University Avenue, linked to it via Queen's...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Nimepoteza kipenzi changu Jamii Forum! Nimepoteza mkanda wa kiuno... nitarudi...... Jina lake ( Jina ) ............. Nimepoteza Kipenzi changu Jamii Forum! ................. kama kule MMU sijui...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Hivi ingekuwaje kama maoni ya kila aliyechangia kwenye katiba mpya yakaandkwa yote kwenye Katiba?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU na kunywewa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M). Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake...
1 Reactions
30 Replies
22K Views
Ila awe na asset kwa kampuni kama Natasha. job interview - YouTube
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani na nyie tenganeni mtuachie hata nafasi wengine...... 1. watu8 na measkron 2. sosoliso na baby Paloma 3. Judgement na YNNAH 4. Madame B na Arushaone, Chimbuvu, na wengine walio baki kama...
6 Reactions
169 Replies
8K Views
Leo wakati nawahi kutafuta ridhiki nimekutana na hii kitu njiani karibu na shamba la mahindi mara kwa kwanza nilishtuka nikakumbuka kuna Yesu na Mtume nikataja jina la Yesu na Mtume Mohamed...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
teacher: What do you call a fish without an eye? student:fsh kapata ama kakosa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Acha uadui,ugomvi,fitina,wivu,uasherat,uzinzi,wizi,uongo,usengenyaji na maneno ya uchochezi. Tutakuwa salama wote.
0 Reactions
6 Replies
945 Views
Nafasi nachukua,shairi kukuandikia, Albert Mangwea, uliyetangulia, Asili ya Songea,mzaliwa wa Mbeya, Mangwea tangulia! Nilianza kukusikiliza,ili kukuelewa, Mengi ukanifunza,hadi kunogewa, Kwa...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
kutokana na tabia yake ya kuparamia mali za watu kwa muda mrefu hatimaye za mwizi arobaini,mwenyekiti wetu Baba v yamemfika ya kumfika kaja kuparamia ukuta wangu kwa kasi ya ajabu akiwa amevalia...
3 Reactions
83 Replies
6K Views
STORI YA MAPENZI Siku moja MUME na MKE walikwenda Zanzibar...........!(itaendelea wakirud)
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…