JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sasa utakuwa umeshajua kwa nini nambari ziko hivyo Info hii umeipata kwa hisani ya Boflo
17 Reactions
20 Replies
4K Views
Baada ya kupotea JF kwa takriban miezi 12 nimerudi nikiwa na kazi na weledi usiopimika. Nabisha hodi naomba kukaribishwa. Wenu, Leroy JF Senior Expert Member
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya mlo wa jioni kwenye hotel moja maarufu mrembo mmoja wa kitongoji cha sinza akapayuka kwa sauti 'I want to speak' watu wote kimya wakamsikilliza kwamakini kumbe mwenzao alitaka kusema I...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JF nikipost namaanisha. Sina muda wa ku 'fake' licha ya kwamba nyakati nyingine nalazimika kuyaficha majina na uhalisia wa usika kwa sababu ya Privace Right. Ila kama unaona mzee wa matukio...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Je ni sahihi kusema kuwa mtu anayefariki ameacha pengo? Naona ni kama vile tunamkufuru Mungu maana karibu kila anayefariki kwa mtazamo wangu ni kwamba amekamilisha jukumu/kusudi lake alilokusudiwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
6 Reactions
157 Replies
11K Views
elimu
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Eti wakuu,mnaonaje katiba mpya ingewaruhusu wanaume wa tanzania wenye nyumba ndogo kutambuliwa kisheria?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa mmoja kabila namuhifadhi kwa leo alianza kusHtukia nyendo za my wife wake; so akaona bora aanze kupiga defence; ndoa ikiwa na mwaka mmoja tu jamaa akawa na tabia ya kupiga piga simu nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello kyanaKyoMuhaya, We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today! It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better! Wishing you all the great...
2 Reactions
5 Replies
967 Views
Mwanao kaja na Kondom iliyotumika MZAZI:Umetoa wapi? MTOTO:Nimeokota MZAZI:Tupa MTOTO:Haya! ila mchuzi nimekunywa wote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka mara ya mwisho kuongea nawe ulikuwa mguu nje mguu ndani kwa manoah, Nimeskia umemtosa manoah naona ni wakati muafaka kwangu kurudisha majeshi kwa nguvu zote,...I need you.. Copy: Baba...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Binafsi nilipokuwa mtoto nilitamani sana kuwa daktari sababu ya mzunguko wa familia ulivyo ila sikwenda mbali sana nikawa nesi. Na naipenda kazi yangu vibaya mno. ulipokuwa mtoto ulitamani kuwa...
0 Reactions
4 Replies
872 Views
mwalimu kaandika ubaoni"KISS ME" kisha akawaambia wanafunzi haya someni wote kwa pamoja,wanafunzi "KISIMIIIIIIIIII"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cha eric shigongo,na bei natarajia pia itakuwa used mwenye nacho 2wasiliane,
2 Reactions
3 Replies
14K Views
Yaani acha tu! Maisha ni kitabu ambacho ni endless so far we r living its a must to go next page and then next chapter! Ila naamini kuna wengine wako chapter one bado while other wako chapter...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila mdada ninae kutana nae maeneo ya mlimani city anajifanya ana swagga za kimarekani,swagga zenyewe zko kwenye ki-inglishi,yan ukimsemesha tu utackia anakumwagia slang za kufa mtu as if tuko...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
A few years after I was born, my Dad met a stranger who was new to our small town. From the beginning, Dad was fascinated with this enchanting newcomer and soon invited him to live with our...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mama 1 kaenda kwenye kikao cha harusi. Kwa kuwa kulikua na kinywaji cha kutosha kachelewa kurudi home mpaka 6.30 usiku, kauta mume keshalala kabisa. Mama: Hodi? Mume akamwambia: Kalale huko huko...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hii ni english ya mwanafunzi bora wa form 4 kutoka shule mojawapo za kata TZ akimwambia MZUNGU ugumu wa kupanda mlima kilimanjaro sababu njia haijanyooka moja kwa moja "SIR! TO PLANT MOUNT...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom