JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanashukruni sana wanajf kwa kunitia moyo na kunipa nguvu kwenye kipindi hiki kigumu. Mdogo wetu Vianney tulimpumzisha jana kwenye nyumba yake ya milele tukiwa na imani ya kuwa tutakutana nae...
16 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station. "Naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7,ATM Card na karatasi yenye PIN ya ATM Card...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Bibi wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Majuzi akaenda Hosptal. Dk. akampima akamwambia "TUMBO LIMEJAA GESI utafanyiwa upasuaji Dar". Bibi ghafla akatoka mbio akipiga mayowe; Hii gesi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Lakini kumbuka kua said mwema hana undugu na usiku mwema
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wana JF naomba msaada wenu hapa. Mwanzoni mwa miaka ya 90's wakati nipo primary niliwahi kumsikia jambazi sugu aliyewahi kuitikisa ulaya na amerika, namkumbuka kwa jina 1 tu la CARLOS...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
I gues am grown enough for an outing this friday. Safari ya Morogoro kwenye Msiba wa ngea imenipa kauchovu kidogo. Filipo umepata Pm yangu?
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Grounds for Divorce A Polish man married an American girl, and though his English wasn't very good, they got along very well. One day he rushes into a lawyer's office and asks him to arrange a...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro
2 Reactions
62 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kweli ujana maji ya moto, leo hii ukiambiwa Mzee Mtambuzi ndio huyu, huwezi kuamini....... Ndio maana sipendi kuamkiwa shikamoo, hiyo salaam inanikera kama nini...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Serikal ya Tanzania imetangaza kupunguza bei ya mchele kufikia shiling mia hamsin kwa kilo ili kuwezesha watanzania wote kula wali.hii ni baada ya kugundulika kuwa unga una madhara kutokana na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Je ktk maisha yako kipindi unaanza elimu ya sekondari Ni jambo gani la kufurahisha na kuhuzunisha hutosahau maishani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Google Inaweza Tumika Kwa Hili Pia Jaman
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Teacher: What will you do after growing up? Student: Facebooking T: NO! I mean what will you BECOME? S: Admin of facebook pages. T: OMG! I MEAN what will you ACHIEVE after you grow up? S...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Kwa taharifa yako tu, Hawa ndugu zetu hupendelea zaidi kuandika barua zao kwa kuzianza kwa salamu za kikwao, hata maandishi ya mapambo kwenye vyombo vya usafiri mengi huyaandika kwa lugha yao ya...
0 Reactions
123 Replies
39K Views
Niko natandika bia hapa,lakini sina company na huyu dada hapa counter yuko busy kwelikweli. Kama kuna member ambaye yuko kwenye situation kama yangu naomba tuanzishe maongezi ya kilevi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Inawezekana iliwahi kuonekana. Kama ndivyo, nijuze. Ninazo nyingine.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom