JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kichwa cha habari kinahusika Paloma, Kaizer, Arushaone, Preta, Lisa, Nivea, figganigga,@FP, Kipaji Halisi, Ruttashobolwa, Madame B mnakaribishwa..
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Majina mengine banah sio ya kuwapa wanyama! Mzee kaenda kwa mtoto wake kuwa salimia wajukuu zake kafika akaenda kuoga mara anasikia mtoto anaita. mtoto:"thomas ,thomas, thomas" mzee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman kuna wanafunz walikua vchwa class ila wamechemka necta mara zote mbili hv tatzo ni necta au wanafunz wenyewe?
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Boy: Can i touch ur Software? Girl: First show me ur Hardware.
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Wenzake wanakua kila cku yeye mmhhh
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mume mwenye wivu alipokua ofisini alipiga simu nyumbani kucheki kama mke wake yuko nyumbani, mke akamjibu yuko nyumbani, akamwambia siamini na kama uko nyumbani washa blender. Mke akawasha blender...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunga sentensi kwa kutumia neno "kipupwe" ni maalumu kwa ajili ya hali ya hewa ya mwezi huu! naanza: ninapenda sana vitu vya moto wakati huu wa "kipupwe"
0 Reactions
47 Replies
5K Views
1. Hebu fikiria unafuga mbwa halafu ni mvivu kiac kwamba mbwa wa jirani akibweka nae anaitikia ''Me too'' 2. Ndoa ni Mbwembwe tu mapenzi yapo nyumba ndogo. 3. Siyo kila mbeba jembe anaenda kulima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuwa makini, ukinunua soda angalia kwanza pande zote, kama kuna mmakonde usifungue! Maana akisikia sauti ya gesi, utachezea kichapo, wana uchungu na gesi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
eti ukimuona Mwanaume wa Kitanzania anamfungulia mlango wa gari mwanamke ujue huo mlango mbovu. Hahahaha dah aisee hatupo Romantic kabisa...Ndio maana vitanda vyetu tunavibana ukutani. tunaogopa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MHESHIMIWA SPIKA, naishauri serikali yako tukufu kuwa,ktk masomo ya udaktari kuwe na kitengo cha madaktari wa MAPENZI. Huu ni ugonjwa unaosumbua wengi,vijana na wazee,maskini na tajiri. MHESHIMIWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi starehe yangu ni kula nguna (ugali mgumu sana na mkubwa sana) kisha baada ya hapo naenda kucheza disco la Yesu Je mwenzangu ni ipi starehe yako? Wapo wanaostareheka na miili ya wenzao...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Bishanga waambie warudishe madeni hao watu, hasa sosoliso na Paloma... kachukue na ile gari uliyo muazima Lady doctor. The secretary kasema anataka kuhamia .................... alafu namuonaga...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika yakuwa majina yao yaliabadilishwa na walim wao shule za msingi, mfano Kimario- kimaryo, moshi-mushi, helen - hellen, nicholaus -nicolas, Mc-conan...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yes natangaza kujivua 'GAMBA'kwa 'mtoto' king'ast!! Haiwezekani kupigwa ban kila wiki tena weekends.Ngoja wenye visu vikali wale nami ntapata mwandani wangu tutakaeshibana kama king'ast na Paw...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Watch This Is the End Full Movie Online Free. free for watching this is the end full movie 2013 about 107 minutes.watch this is the end online Everything about this movie is great, the story, the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwalimu mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa vile hakuwa mchoraji mzuri ule moyo ukaonekana ovyo tu.Kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini? Mwanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mke wa mtu alikutwa akisoma ujumbe wa simu aliotumiwa na mpenzi wake wa nje. Ghafla mwanamke huyo akajikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake wa nje kumwambia kuwa mapenzi yao yamefika...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom