mimisa umeona Mr Rocky Karudiana na Dena.. Bishanga anakuita nyumbani

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Bishanga waambie warudishe madeni hao watu, hasa sosoliso na Paloma... kachukue na ile gari uliyo muazima Lady doctor.
The secretary kasema anataka kuhamia .................... alafu namuonaga Vin Diesel anakuja nyumbani... sijui kutafuta nini...

- Mungi hajapigwa Ban kweli jamani?

ah ah ah! sosoliso umeisha umia... mwenye Paloma karudi teh teh teh!

- Blue G my kaka wa ukweli naomba uniandikie open barua maana I miss you sana brother......................................
 
Last edited by a moderator:

We manoah unasema The secretary anataka kufanya nini? Embu rudia nikusikie uzuri.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mimi mzima kabisa niko na Dena Amsi hapa anakusalimia tena niko nairobi kabisa
manoah uko salama na ndoa yako iko salama kweli
Mamndenyi cheka unenepe bana ya nini kujipa stress
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom